Wanawake kwa hili tuambieni ukweli

Wanawake kwa hili tuambieni ukweli

Kabisa unauliza swali kama hili? Eti mwanaume ana nini cha ku-offer zaidi ya dushe?

Ingekuwa ni hivi basi hata wanaume majobless wasiokuwa na mbele wala nyuma wasingekuwa wanateseka kupata wanawake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mnataka tubadilishane position ya jinsia au vipi? Au labda tunapaswa kuoffer nini ambacho hatutekelezi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mbona huwa hamtupi majibu ya uhakika?

Mbali na mapenzi (sex), muna kitu gani kingine cha kutupa sisi wanaume?

Usichanganye ‘mapenzi’ na ‘ngono’.... hoja yako ulikusudia isomeke hivi:

Mbali na ngono (sex), what else..?

Nafuatilia mdahalo kwa ukaribu, mpaka sasa sio Simba sio Yanga.... mnyukano mkali kweli kweli.
 
toughlendon_1, Unaouita upuuzi ni utamaduni wenu waafrika. Hatuwezi kubadili...tamaduni zitabaki pale pale.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sawa sikatai tamaduni, ila usihusishwe na kumfanya mwanamke inferior, na hapa ndio matatizo na unyanyasaji wa wanawake unapoanzia, mtu anaona ni sawa kumbonda mke wake kisa kamtolea mahari, alafu nachoshangaa ni mazingira ya hivi mnayatengeneza wanawake wenyewe sasa bila kujijua...mnahalalisha kufanywa chochote kile kisa mahari, we unaona hiyo iko sawa ??


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sawa sikatai tamaduni, ila usihusishwe na kumfanya mwanamke inferior, na hapa ndio matatizo na unyanyasaji wa wanawake unapoanzia, mtu anaona ni sawa kumbonda mke wake kisa kamtolea mahari, alafu nachoshangaa ni mazingira ya hivi mnayatengeneza wanawake wenyewe sasa bila kujijua...mnahalalisha kufanywa chochote kile kisa mahari, we unaona hiyo iko sawa ??


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mazingira yametengenezwa na mwanamke kivipi? Mimi naweza pinga mahari wazazi wakakataa, sio mama tu anayetaka mahari bali na baba pia. Kubadili hii tamaduni inahitaji kazi sana. Binafsi siwezi badili...kuna ambao hawahatolewa mahari wanadundwa vile vile. haina formula hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tegemezi kivipi wakati pesa hamna? Na kama mnazo hamtoi? Mi hata sijaona la maana mlilo nalo.
Na kukutegemea wewe mume ni haki yangu, na Mimi mke ninayo majukumu ya kufanya pamoja na kulea watoto. Au mlitaka tuwafanyie nini cha zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
kamtegemee baba ako aliyekuzaa, watoto hata housegirl atalea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom