Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,942
akikujibu unitagSimu.pesa.gar.kodi,nguo,menu,gari......etc etc etc
Swal kwako,mbal na k una ofa nn
Sent using Jamii Forums mobile app
akikujibu unitagSimu.pesa.gar.kodi,nguo,menu,gari......etc etc etc
Swal kwako,mbal na k una ofa nn
mzee yule demu wako mzungu pale USA alikuwa anakupiga mizinga?Jamani tupendane. Tumeumbwa kutegemeana; na kila mmoja wetu ana majukumu yake kulingana na muumba wetu japo majukumu mengine tumebebeshwa na jamii. Mwanaume ndiye mlinzi, bread winner na kuhani. Mizozo mingi huwa inatokea mwanaume akianza kukwepa majukumu yake.
mzee una mpango wa kuoa?Achana na wanawake mkuu,ukisikia ugwadu vuta tandika
then rudi chapa kazi kwa bidii,zikikuzidi tena Vuta tandika
kisha rudi zako kibaruani,hao viumbe hawana jipya chini ya Jua.
na yeye pia anatakiwa akushukuru kwa kumpa mimba,hiyo mimba hajipatii mwenyewe, hawezi kuzaa bila mwanaume.mwanamke hawezi kuitwa mama bila mwanaume kumpa mimba1.Kubeba ujauzito
2.Kuzaa
Hivyo tu ndio vinavyonifanya nione thamani na nimuheshimu mwanamke
tofauti na hapo hizo task mbili tungekua na uwezo nazo wanaume wenyewe
nadhani leo hii ningewabatiza jina moja amaizing sana,ila kwakua hizo ni task zenu TU
sina budi kuwaheshimu/wapenda na kuwajali haijalishi mtanichuna kiasi gani,nk nk
hakuna kingine mnachoweza nipa nikawaelewa maana ni hakuna,hakipo na hakitokuwepo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],jiwe gizani mtu analia yalaaaaa
mwanamke hata awe na hela still anahitaji kuhudumiwa na mumeweLife supporter kwa anayekutegemea wewe sio wanawake woote ni tegemezi kwa wanaume najua unajua
Ile kwa kimahaba tuu ila sio lazima
mzee ukitoa pussy mwanamke hakuna anachoweza kumpa mwanaume labda stressKitu cha msingi tunatakiwa kujua kutoa ni moyo, na mwanamke anatakiwa ajingalie asingekuwa na coochie angeofer nini kwene relationship ? Au mkishamaliza kufanya sex, what else can she do as a woman ? kama hakuna kitu anaofer beaides sex hiyo relationship ni mbovu kabisa na usiendelee nayo, huo ni uchawa...
Sent from my iPhone using JamiiForums
yap,sio lazima kumuhudumia mwanamke,sihudumii mwanamke wala sidate na mwanamke tegemezi,akahudumiwe na baba ake aliyemzaaIle kwa kimahaba tuu ila sio lazima
Temea mate chini basi. [emoji176] [emoji24]Kwani nyie mna nini zaidi ya dudu? Mahusiano ya kimapenzi kikubwa ni kei na dushe bas, mengine mbwembwe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aongee kama GTHahaha acha masihara ..... Unauliza sisi huwa tuna wa-offer nini tena ...wakati asilimia kubwa ya wanawake wengi ni tegemezi na sisi ndio life support wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mimi tu ndiyo sikuelewiii au....!?Tegemezi kivipi wakati pesa hamna? Na kama mnazo hamtoi? Mi hata sijaona la maana mlilo nalo.
Na kukutegemea wewe mume ni haki yangu, na Mimi mke ninayo majukumu ya kufanya pamoja na kulea watoto. Au mlitaka tuwafanyie nini cha zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app