Nzi ni nyuki mjinga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2020
- 1,073
- 1,569
You have no clue of what to offer apart from papuchi.
You have no clue of what to offer apart from papuchi.
Sipo dunian kumfurahisha mtu npo kwa ajili yangu na ubinafsi wangu.
Haswaaa...ndio lengo kuu, vingine vyote unaweza kuvipata bila hata mimiKwani nyie mna nini zaidi ya dudu? Mahusiano ya kimapenzi kikubwa ni kei na dushe bas, mengine mbwembwe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
NdioHaswaaa...ndio lengo kuu, vingine vyote unaweza kuvipata bila hata mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kukubali. Ila kwa sababu ni tamu sana it worth it.
Sawa tuAsante kwa kukubali. Ila kwa sababu ni tamu sana it worth it.
LevelsMwanamke akikwambia “sema chochote utakacho nitakupa”, ujue ni K na ile ndogo.... si vinginevyo.
Mimi nataka mtu piece of maindySi ni wajibu wenu? Au mnataka na nyie muhudumiwe? Mi kama sijaelewa vile..nini mnataka tuwape?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3] wengi tupo hivyo mbonaMimi nataka mtu piece of maindy
Mwanamke hata asipotongozwa atajitongozesha,kwani we hauna hisia tukupeleke hospitali doctor Matindiga akakutibu au BANANA CASH ?Kwani wewe ukimtongoza mwanamke unataka akupe nini? Mbona mkikubaliwa mnaanza mishe za kumvua chupi? Sijawahi kuona mwanaume kakubaliwa tu anaanza sasa mpenzi chukua huu mtaji fungua duka. Hua mnaanza baby njoo geto tupike.. Mazafantazz hamjui mnachotaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kuna sehemu hbujaelewa kama baadhi ya wenzako ambavyo hawajaelewa,halafu tatizo kubwa hamkutaka kueleweshwa.Si ni wajibu wenu? Au mnataka na nyie muhudumiwe? Mi kama sijaelewa vile..nini mnataka tuwape?
Sent using Jamii Forums mobile app
Apia
Ulipokwama.weweNdio kuna sehemu hbujaelewa kama baadhi ya wenzako ambavyo hawajaelewa,halafu tatizo kubwa hamkutaka kueleweshwa.
Hivi mmekwama wapi hapo ?