Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

Je kuna uhusiano gani kati ya mwanamke mwenye ndevu na utajiri? Nakumbuka miaka ya nyuma, mkoani Mbeya wanawake wenye ndevu walikuwa wanapotea kwenye mazingira ya kutatanisha na walipo patikana walikutwa ni maiti na videvu na sehemu zao za siri vikiwa kimekatwa na kinyofolewa

Hizo za kizamani, za siku hizi za mkorogo hazina maana hata chembe!
 
Hawa wanawake wana ujasiri kuliko kawaida hivyo wanajichanganya katika mambo ya uzalishaji na biashara sana, ila pia wengi wenu ni walevi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! na wanapenda mambo ya tulikotoka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ujenzi wa maumbile huchagizwa na "homoni" Ndevu hazihusiani na utajili. Ila siku hizi matumizi ya vipodozi hasa vinavyotumika kubadilisha nywele vina vichocheo vingi vya homoni vinavyochea uotaji wa ndevu kwa wanawake. NA NDIO MAANA SIKU HIZI wanawake wengi mjini wana ndevu na nyele kifuani mwao.

Pia, watoto wa kiume ambao hulishwa sana nyama ya kuku wa kisasa na mayai yake, watoto hao hutokea kuwa na sauti nyemba kama wanawake na huota maziwa(matiti).

Mauaji ya wanawake huko Mbeya na mauaji yoyote yale kwa imani za kishirikina huashiria kwamba watu wa huko hawajaelimika, ni washirikina, ni waabudu mashetani na mapepo na mizimu, ni masikini, kwa jumla hawajastaarabika-hawajaendelea.
 
Kwa nini wanawake wengi siku hizi wana ndevu?
Zamani ilikuwa nadra sana kuona mwanamke ana ndevu
na ukimwona akuwa ni mtu mzima,lakini siku hizi wasichana wadogo wanazo.
 
Wanatuonea wivu cc kuwa nazo lakini kitalaam ni kuridhi na vyakula vya sasa madawa mengi mfano kuku
 
Pia mafuta ya kuchubua ngozi yanasababisha ndevu.Utaona wanawake wengi wanaojipiga mkorogo wana ndevu.Pia vyakula... overweight ladie wana ndevu pia. Ushauri wangu...lets go for natural food...na natural cosmetics.Ulaya wenzetu wana Laser treatment ya kutoa ndevu...hapa bongo nasikia ipo movenpic tu...
 
Siku hizi wimbi la wanawake wenye ndevu limekuwa kubwa. Hebu wataalam naomba mnijuze, ni tatizo la kitabibu ama lina sababu nyingine? Je mtu mwenye hali hiyo anaweza kutibiwa na ndevu zikakoma kuota?
 
Na kweli wanawake wenye ndevu siku hizi ni wengi tofauti na hapo awali walikuwa adimu sana...ngoja wa wataalam waje watujuze.
 
Juzi nlikua moshi na nlishtuka sana kumwona maza ana ndevu na kwavile zimejaza kidevu ameaumua kuchongea o! its smthng real!
 
Wanawake wenye ndevu wanaanza kuongezeka kwa kasi kitu kinacholeta mkanganyiko. Kitu gani kinawafanya nyie wanawake muote ndevu?
 
Back
Top Bottom