Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

1.kuna fununu kuwa ndevu kwa akina mama ni dalili nzuri za utajiri.
2.kimsingi ni hali ya kawaida tu ambayo mara chache hutokea,kama kumkuta mwanamme ana sauti ya kike au ameota matiti.
3.kwa hiyo mkuu usije ukaanza kumfanyia mahesabu shemeji iwapo ana ndevu.
 
Nimevuta picha ya wenyewe ndevu ninaowafahamu kweli ni kama naona wanavihela
 
Wakati tukiwa wadogo tuliamini kuwa ukipata udevu mmoja tu wa mwanamke basi umeukata. Kuna jamaa mmoja bibi yao alikuwa na ndevu basi tulikuwa tunawaomba watuibie walau ndevu moja. Laiti tungepata labda tusingewa malofa!


But....ni ujinga tu!!
 
Wakati tukiwa wadogo tuliamini kuwa ukipata udevu mmoja tu wa mwanamke basi umeukata. Kuna jamaa mmoja bibi yao alikuwa na ndevu basi tulikuwa tunawaomba watuibie walau ndevu moja. Laiti tungepata labda tusingewa malofa!But....ni ujinga tu!!
utajiri hauji kirahisi hata siku moja
 
Nimevuta picha ya wenyewe ndevu ninaowafahamu kweli ni kama naona wanavihela
Inasemekana kisayansi,ndevu kwa kinamama hutokana na ulaji wa vyakula vya artificial/vya kisasa.na watoto wanaokula vyakula hivyo ni wale wanaotokea familia bora!Wenda ndo maana wengi wenye ndevu wanazo kiasi!
 
images
 
Je kuna uhusiano gani kati ya mwanamke mwenye ndevu na utajiri? Nakumbuka miaka ya nyuma, mkoani Mbeya wanawake wenye ndevu walikuwa wanapotea kwenye mazingira ya kutatanisha na walipo patikana walikutwa ni maiti na videvu na sehemu zao za siri vikiwa kimekatwa na kinyofolewa

Mbeya mkuu hata wewe ukienda uko tofauti kidogo tu utakiona cha moto....mwambie hata Makamba aende huko na hicho kiuvimbe chake utasikia ana utajiri huyo...
 
Je kuna uhusiano gani kati ya mwanamke mwenye ndevu na utajiri? Nakumbuka miaka ya nyuma, mkoani Mbeya wanawake wenye ndevu walikuwa wanapotea kwenye mazingira ya kutatanisha na walipo patikana walikutwa ni maiti na videvu na sehemu zao za siri vikiwa kimekatwa na kinyofolewa

Nilichowahi kusikia kuhusu Wanawake wenye ndevu ni kwamba huwa wana bahati sana katika maisha. Niliwahi kuwafuatilia wachache ambao nimebahatika kuwafahamu kuona kama kweli walikuwa na bahati kimaisha na ufuatiliaji wangu wa juu juu nikaona ni kweli karibu wote niliowafahamu kimaisha walikuwa na nafasi nzuri ukilinganisha na maisha ya walio wengi ila sina uhakika kama hili lina ukweli wowote kwa wanawake wote wenye ndevu au ni coincidence tu hasa ukitilia maanani "research" yangu ya juu juu haikuwa na sample kubwa na pia haikuwa scientific research.
 
Labda wanawake wazamani, lakini wengi wa sikuhizi ni mikorogo wanayopaka ndo inawaletea vinyweleo vingi ndevu, na pia miili kupasuka ile michilizi kama ya unene.
 
Mkuu bujibuji ulipotea sana forum. Wanasema ndevu za mwanamke zina siri ya bahati so waganga huzitafuta sana sana kwa mitambiko na shughuri zao za uganga. Then wanawake wenye vindevu mara nyingi wengi wao huwa matajiri.. So naweza sema ndevu za mwanamke huwa na siri ya utajiri km wahenga walivyonena!
 
Jamani ndevu kwa kina dada ni majaaliwa.. Utajiri pia ni majaliwa yatokanayo na jitahada na juhudi binafsi
 
Back
Top Bottom