Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

Discussion in 'JF Doctor' started by JamiiForums, May 3, 2010.

 1. JamiiForums

  JamiiForums Official Robot Staff Member

  #1
  May 3, 2010
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 5,091
  Likes Received: 2,228
  Trophy Points: 280
  Siku za karibuni, wanawake wengi wamekuwa wakiota ndevu na wengi hawajui cha kufanya.

  Katika mjadala huu, tunaangalia CHANZO cha tatizo hili, dalili zake (kama zipo), tutajadili pia tiba za asili na za kisasa (kama zipo) ili kuweza kuwasaidia wenye kuhitaji ushauri wa kukabiliana na tatizo hili.

  Fuatana nasi!
  ==========================================================================


   

  Attached Files:

 2. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mikuku ya kisasa, mayai, vipodozi vya kichina nk.

   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,662
  Trophy Points: 280
  Mwisho wa dunia umekaribia.Tubu na kuiamini injili.

   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mi zamani nilikuwa nakutana na wanawake wenye ndevu sana kuliko sasa!

  Lkn kimsingi ni kwamba kuna baadhi ya maeneo ambayo shida hiyo ni common kwa wanawake wengi...Mi nahusianisha na aina za vyakula wanazotumia huko, au asili ya udongo etyc... ni mtazamo tu!
   
 5. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Curl Kit hizo na mchanganyiko wa chinese products
   
 6. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Jawabu/dawa yake hasa ni nini?

  Dr. yeyote atoe maelezo basi ya kina kuhusu sababu na jinsi ya kuepuka na dawa.
   
 7. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Madoktari vipi mbona kimya wakuu!. Hebu mwageni hizo nondo hapa dada zetu waepuke kufanana nasi jamani. Videvu vyetu vikukutana wakati wa kujimwaga unaweza hisi uko na mdume mwezio kumbe mdada ?
   
 8. bht

  bht JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Mikorogo hiyo, Jaribu kuchunguza wanawake wengi wenye kujichuna utaona (Congo hii ipo sana).

  Sisemi hawapo wenye ndevu kwa sababu za 'kimaumbile'
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,251
  Likes Received: 5,632
  Trophy Points: 280
  Hii ni suala la homones jamani.Binafsi nina dadangu alikuwa na tatizo hili nikaenda kwa daktari akaniambia ni hormones nikaelekezwa kwa jamaa mmoja anaitwa dk Ndodi Tabata, alipopewa dawa akakata mpaka sasa azijatoka.

  Sasa kwa ushauri muulie dk. Ndodi.
   
 10. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2010
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,897
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Kuna watu wanasema ni ulaji wa viazi (irish potatoes)... sasa sijui kama kweli au kuna connection gani.
   
 11. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,813
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Kwani kuna tatizo gani kwa mwanamke kuwa na ndevu? :target:siku hizi ni 50/50
   
 12. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #12
  May 9, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  KUOTA NDEVU AU NYWELE KWA MWANAKE, KWENYE SEHEMU AMBOZO SIO ZA KAWAIDA KWA JINSIA YA KIKE, HUJULIKANA ZAIDI KWA MAJINA MAWILI

  [1] HIRSUTISM AND
  [2] HYPERTRICHOSIS

  HIRSUTISM is defined as the excessive growth of thick dark hair in locations where hair growth in women usually is minimal or absent or is the growth of terminal hair in female which is distributed in pattern normally seen in male. Such male-pattern growth of terminal body hair usually occurs in androgen-stimulated locations, such as the face, chest, and areolae. [Dark ring around a nipple]

  HYPERTRICHOSIS;
  Is an excessive growth of terminal hair that does not follow an androgen pattern,kwenye paji la uso,mikono n.k. Although the terms hirsutism and hypertrichosis often are used interchangeably, hypertrichosis actually refers to excess hair (terminal or vellus) in areas that are not predominantly androgen dependent.

  Whether a patient is hirsute often is difficult to judge because hair growth varies among individual women and across ethnic groups. What is considered hirsutism in one culture may be considered typical in another. For example, women from the Mediterranean and the Indian subcontinent have more facial and body hair than do women from East Asia, sub-Saharan Africa, and northern Europe. Dark-haired, darkly pigmented individuals of either sex tend to be more hirsute than blond or fair-skinned persons.

  A woman with hirsutism has excess terminal hair in a masculine pattern, but note that hirsutism may be difficult to evaluate in women who have blond hair In most cases, hirsutism is a benign condition and is primarily of cosmetic concern. However, when hirsutism is accompanied by masculinizing signs or symptoms, particularly when these arise well after puberty, hirsutism may be a manifestation of a more serious underlying disorder such as an ovarian or adrenal neoplasm. Fortunately, these disorders are rare.

  Causes:

  Hormones;
  Androgen levels disorders of ovary is one of the causes of Polycystic ovary syndrome (PCOS) . [cyst;- a closed bladder like sack formed in animal tissues ,containing fluid or semi fluid matter] PCOS is a disorder which causes of hirsutism; (PCOS) is one of the most common female endocrine disorders affecting approximately 5%-10% of women of reproductive age (12-45 years old) and is thought to be one of the leading causes of female infertility.

  [ii] Familial hirsutism
  Familial hirsutism is not associated with androgen excess. Familial hirsutism is both typical and natural in certain populations, such as in some women of Mediterranean or Middle Eastern ancestry.

  [iii]Drug-induced hirsutism;
  Which results from the treatment of gynecological disorders such as endometriosis danazol which was popular in 1970s, Anabolic steroids; Which are commonly used for muscle-building. Currently used oral contraceptives are likely to cause Hirsutism if used in high or inappropriate dosage.

  Siku hizi wanawake wengi wanaota ndevu ukilinganisha na miaka ya nyuma! Hii inasababishwa na nini?

  OBVIOUS kwetu ni suala la

  [1]HORMONE MARADHI KWA KINA MAMA ,KAMA UTAONA MANAMKE ANAOTA NDEVU GHAFLA ,ZIKIAMBATANA NA CHUNUSI NA HUKU KUKIWA NA MABADILIKO YA SAUTI KUTOKA YA KIKE KWENDA YA KIUME [Age 12-45 ] , BASI MSHAURI AKAPIME HORMONIES ,PIA APIGE NA ULTRA SOUND HIZO NI DALILI ZA PCOS .

  [2] VIDONGE VYA MAJIRA AMBAVYO VINAUZWA KAMA NJUGU ,UTAKUTA MSICHANA MDOGO ANAIGIA FAMASI NA KUSEMA,NAOMBA MAJIRA MBILI NA ANAPATIWA BILA TAABU WALA MAELEZO.

  [3] INDIRECT HORMONE USAGE ,KUTOKA KWENYE VYAKULA.
   
 13. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #13
  May 17, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,938
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Inatisha, hasa wakati wa kutumia talanta! Mimi nilishakutana na mwenye 'love garden'! It is scaring guys.
   
 14. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2010
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,025
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Mfumo wa maisha kwasasa unasababisha hayo. Zamani kazi ya kutafuta ilikuwa ni ya wanaume tu lakini sasa ni wote.

  Hali hiyo ya kuhangaikia maisha inasababisha wanawake kuongeza uzalishaji wa misusumo (hormones) ya kiume ambayo ndio yenye kusababisha magoya.

  Ukiangalia hili ni maeneo (location) utaona kuwa wanawake wenye ndevu ni wengi zaidi mijini kuliko vijijini. Wanawake wakipunguza stress za maisha watapunguza nafasi ya kupata magoya waliyonayo wanaume.
   
 15. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2010
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mimi nadhani ni mkorogo na vyakula vya kisasa,niliwahi ishi mbeya wanaake wengi wamejichubua na wanandevu
   
 16. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nimeanza kumuona tangu siku baada ya tukio la milipuko ya mabomu Gongo la Mboto akitoa maelezo na tahadhari kwa wananchi. Halafu kila mara humuona katika TV (hasa ITV) akirudia taarifa yake.

  Huyu ana ndevu, tena nyingi tu za kushuku jinsia yake halisi. Hata wajihi wake haukukaa kike kabisa. Hachunguzwi kwa nini? Inawezekana pana kitu hapo.
   
 17. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Lakini jamani ni kweli polisi huyo ana ndevu, tena nyingi tu -- ingawa naghani hili haliathiri utendaji na kazi yake.
   
 18. N

  Nondo Member

  #18
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Eti achunguzwe.. Kwani wewe hujuhi kama kuna wanawake wana ndevu?.. Crap!
   
 19. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  Jamani wana jamvi hili jukwaa la Siasa sasa hayo mambo ya ndevu yanaingiaje hapa? ndevu zake zina madhara gani kwa maslahi ya nchi? naanza kua na hisia kua mtoa mada ni mtumiaji mkubwa wa mihadarati aina ya bangi na pia nampa ushauriaache kabisaaaa kwani anapoelekea sio pazuri atakuja vua nguo siku moja.
   
 20. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,289
  Likes Received: 22,054
  Trophy Points: 280
  Je kuna uhusiano gani kati ya mwanamke mwenye ndevu na utajiri? Nakumbuka miaka ya nyuma, mkoani Mbeya wanawake wenye ndevu walikuwa wanapotea kwenye mazingira ya kutatanisha na walipo patikana walikutwa ni maiti na videvu na sehemu zao za siri vikiwa kimekatwa na kinyofolewa
   
Loading...