Wanawake kuchanganyika na wanaume Kanisani

Wanawake kuchanganyika na wanaume Kanisani

Hahaha mkuu acha tamaa uende Mbinguni, Mimi nashukuru Mungu nikiwa kwenye ibada watu wote nawaona wanaume wenzangu.
Acha uongo lazma concetration ya ibada ipungue unapomuona binti kavaa kisketi kilichoishia magotini.Unless uwe hanithi ndo huwezi kutamani.
 
kua uyaone mkuu ni bora waislam waliyaona hayo mapema ya kuharibiana concetration wakaona kila jinsia ikae chumba chake washee mike tu
Ndivyo Quran inavyotaka au ni mfumo tu wa kiutamaduni? Itakuwaje sasa peponi ukikutana na wanawake? Utaikimbia hiyo pepo?

Vv
 
Acha uongo lazma concetration ya ibada ipungue unapomuona binti kavaa kisketi kilichoishia magotini.Unless uwe hanithi ndo huwezi kutamani.
Mkuu, inaonekana zipu ya suruali yako iko wazi kila wakati. Unapokuwa Ibadani, consentration yako iwe kwa Muumba tu, achana na ya dunia hata kwa masaa mawili ya Ibada.

Vv
 
KWANI SIKU HIZI BADO KUNA IBADA??? WATU WANACHEKI HADI PORNAL KANISANI
Kucheki kwao ngono ndio kumaanisha hakuna ibada?

Ni wangapi uliwaona wakicheki ngono kanisani?

Ni kanisa lipi?
 
Kanisa linaheshimu tamaduni ya kanisa mahalia...Mf. Korea makanisa mengi watu wanasali wakiwa wamekaa chini na kukunja miguu...

Afrika ni utamaduni wetu tuliojiwekea wanaume kukaa upande wao na wanawake upande wao..hivyo kanisa linaheshimu huo utamaduni...

Mf mwingine....Liturgical Dancing....Kanisa la Ulaya na Amerika ni mwiko ku-dance during mass..ila kwa Afrika Liturgical Dancing inaruhusiwa.. Kwasababu ni utamaduni wetu....
Sasa hivi kila continent watu wanaonyesha hisia zao NY kuna makanisa yanapiga ngoma inategemea misa ya saa ngapi. Mimi niseme ukweli ni conservative sipendi misa za kunengua viuno napenda misa za kurepent. tunakuja kanisani kutubu siyo kunengua. Ila hili la kukaa wanawake na wanaume limepitwa na wakati. Watoto walikuwa wanatengwa wanapelekwa peke yao matokeo kupigana hata hawasikilizi ibada. Mtoto akileta kelele mzazi yupo. Hapa nilipo kuna walimu wanazunguka kuwatuliza watoto lakini bado wana wazazi.
 
Ni kweli tupu....huwa nashindwa kuelewa wanawake wanapenda kuja upande wa wanaume....angali sisi hatuthubutu kuenda ule upande wao
Kwani wanakuja wakiwa uchi?

Pale wanapokuja masister upande wa wanaume inawadhuruje?
 
Kwa Wakatoliki upande wa kulia ni Wanaume na upande wa kushoto ni wanawwke...wewe sijui unasali wapi....huo ndio utaratibu wetu
Sawa, "as an assumption" upande wa wanawake umejaa...wakija upande wa wanaume inadhuru nini?
 
Mimi ni muumini wa Kanisa la Roman Catholic.

Utaratibu wa Kanisa umetenga upande wa wanaume na upande wa wanawake.Kinachonikera ni pale unakuta wanawake wanaingia kanisani na wanakuta upande wa akina mama nafasi zipo lakini baadhi yao hawapendi kukaa upande waliopangiwa wanaamua kujichomeka kati kati ya wanaume kitu ambacho mwanaume huwezi kwenda kukaa upande wao.

Najiuliza hivi huu ujasiri wanautoa wapi?Tena si wamama watu wazima ila ni mabinti.Huku si kuharibiana usikivu wa ibada?

Unaanza kuwaza mengine wakati uko kwenye ibada!Au hua mnatumwa na shetani?

Kama viongozi wa Kanisa mpo hebu jaribuni kulikemea hili,hasa Kanisa kuu Kigoma mabinti wanapenda sana kujipachika kati kati ya wanaume hata kama upande wao kuna nafasi.
Kwa mfano upande wa wanawake hakuna nafasi, je akija kukaa upande wa wanaume ni sawa kwa mawazo yako?
 
Kama sehemu zengine wakristo wanaume na wanawake wanachanganyika tu na hakuna katazo basi ndiyo maana kuna watu wanaona kawaida tu hata kuchanganyika kwenye ibada makanisani.
 
Hilo limewasaidiaje waislam?
Sisi Tunaamini Mwenyezi na apewe heshima kubwa. Unapoingia kwenye ibada ujitahidi kukonsetreti maana kuna malipo baada ya ile ibada. Tumeumbwa na kupewa matamanio kwa jinsia tofauti na Mungu mwenyew katujalia katka kutupima ibada zake tutazifanya ipasavyo kwakushinda matamanio yetu ili tupate malipo kama ilivyokusudiwa. Unapoakaa karibu na jinsia tofauti hasa kama yuko mbele yako benchi inayofuata kwa mwanaume yoyote yule lazima utahama kidogo na kutafsiri labda ka hereni alikovaa so utahama taratibu kutoka kwa mada husika. Na kingine Siku hiz mavaz zile suti zao duuh ni nzur but fupi unaona mguu ulivyo umbika. So wavae ndefu tuu.
 
Hakuna upande wa pili, huo unajidananya kichwani mwako, mada hapa ni kanisa.
Najua hapa ni kanisa lkn nikajua utakuwa na uelewa mdogo tu kuwa hayo mambo wapo baadhi ya mashehe pia hufanya. Kwa hiyo matendo ya wachache tu hayo.
 
Ukitaka kujua bibi faiza yupo azisha mada za hivi lazima aje
 
Wewe hujaenda ibadani...ukiwa umeenda nafsi yako inakuwa concentrated ....kama unawaza kuwacheki mabinti hata kama wakikaa upande wao utawaangalia tu....lkn pia nini tatizo, wao pia ni binadamu tuko nao karibu sehemu nyingi...tatizo ni mindset yako ...imekaa kingonongono tu....samahani
 
Najua hapa ni kanisa lkn nikajua utakuwa na uelewa mdogo tu kuwa hayo mambo wapo baadhi ya mashehe pia hufanya. Kwa hiyo matendo ya wachache tu hayo.

Usifiche uozo, kanisa katoliki linanuka uozo, jisomee:

Cases of sexual abuse (particularly of children) and subsequent cover-ups committed during the 20th and 21st centuries by Catholic priests, nuns, and members of Roman Catholic orders have led to numerous allegations, investigations, trials and convictions. The abused include boys and girls, some as young as 3 years old, with the majority between the ages of 11 and 14.

https://en.wikipedia.org/wiki/Catholic_Church_sexual_abuse_cases
 
Sisi Tunaamini Mwenyezi na apewe heshima kubwa. Unapoingia kwenye ibada ujitahidi kukonsetreti maana kuna malipo baada ya ile ibada. Tumeumbwa na kupewa matamanio kwa jinsia tofauti na Mungu mwenyew katujalia katka kutupima ibada zake tutazifanya ipasavyo kwakushinda matamanio yetu ili tupate malipo kama ilivyokusudiwa. Unapoakaa karibu na jinsia tofauti hasa kama yuko mbele yako benchi inayofuata kwa mwanaume yoyote yule lazima utahama kidogo na kutafsiri labda ka hereni alikovaa so utahama taratibu kutoka kwa mada husika. Na kingine Siku hiz mavaz zile suti zao duuh ni nzur but fupi unaona mguu ulivyo umbika. So wavae ndefu tuu.
Sawa, nakuuliza swali nililomuuliza muumi'nin mwenzio

Ni bora kukaa karibu na jinsia ya kike mliyetazama wote madhabahuni au kukaa na wa jinsia yako anayekubinulia ma'tako tena kwa kukuinamishia?

Una uhakika hakuna matamanio hapo?
 
Jinsia ya kike ni kike tuu awe mbele au pembeni akiwapembeni utapiga jicho mapaja kama anakimini na kifuani
 
Back
Top Bottom