Wanawake kuchanganyika na wanaume Kanisani

Duu hivi kabisa katolic kote ulimwenguni au Tanzania wametenga sehemu ya wanaume na wanawake naomba kujua maana mie sijawai kujua hivyo nammi ni mkatolic pure ninachokijua au navyoona ni mazoea tu kwamba utakuta wanawake wapo wengi upande mmoja na wanaume wapo Hivyo na sithan kama ni sheria imewekwa maana si Tanzania tu nimesali na nchi zingine wanasali kwa kuchanganyika wewe kabisa hilo ni lipi lililotenga uo utaratibu
Huu utamaduni upo mkuu, Leo kanisani padre kamhamisha man mmoja atoke sehemu ya wanawake akakae sehemu ya wanaume wenzake
 
Haaa basi ni mtazamo tofauti wa mapadre aisee na ni sehemu na sehemu ila sio utaratibu au sheria, kama ilivyo jpil kwa wakatoliki dunia mzima kufanana katika mass nzima maana basi makanisa yote yangefwata
Lakin pia kwani kuna shada gani kukaa pamoja maana lengo ni kusali au wanaume wanaendaga kwa mtazamo na matamanio kanisani
 
ni kweli wapo mtoto jicho kama kikombe inshort ni wazuri wasiomithilika na ni makundi kwa makundi wanafahamika kama nur'ain (i stand to be corrected) na wapo kwa ajili ya kuwastarehesha Au kustarehe pamoja na wale waliojikurubisha kwa mola wao na kufumbia macho starehe za dunia
Mizgo itakua namna hyo
Heee sijaelewa hapo kabisa unaongelea maisha ya wapi au nini hiki kwanzia swali sijaelewa pia
 
ni kweli wapo mtoto jicho kama kikombe inshort ni wazuri wasiomithilika na ni makundi kwa makundi wanafahamika kama nur'ain (i stand to be corrected) na wapo kwa ajili ya kuwastarehesha Au kustarehe pamoja na wale waliojikurubisha kwa mola wao na kufumbia macho starehe za dunia
Mizgo itakua namna hyo
Duh umethibitisha bila shaka yoyote...na vp siye wa motoni kuna warembo huko manake haiwezekan muwe mnachomwa tu bila kupewa kamuda kidogo cha kuburudika?

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Maranyingi wadada hawa hukaa pamoja na familia zao mfano karibu na kaka au babake. Pili wapo huwa ni wachumba hivyo hupenda kukaa karibu na wenzi wao, ni hayo tu.
 
Mimi ni muumini wa Kanisa la Roman Catholic.

Utaratibu wa Kanisa umetenga upande wa wanaume na upande wa wanawake.Kinachonikera ni pale unakuta wanawake wanaingia kanisani na wanakuta upande wa akina mama nafasi zipo lakini baadhi yao hawapendi kukaa upande waliopangiwa wanaamua kujichomeka kati kati ya wanaume kitu ambacho mwanaume huwezi kwenda kukaa upande wao.

Najiuliza hivi huu ujasiri wanautoa wapi?Tena si wamama watu wazima ila ni mabinti.Huku si kuharibiana usikivu wa ibada?

Unaanza kuwaza mengine wakati uko kwenye ibada!Au hua mnatumwa na shetani?

Kama viongozi wa Kanisa mpo hebu jaribuni kulikemea hili,hasa Kanisa kuu Kigoma mabinti wanapenda sana kujipachika kati kati ya wanaume hata kama upande wao kuna nafasi.
Mtongoze ibada inayofauta hatakaa upande wenu
 
Viti vya mabench vimepitwa na wakati. Vika singles @ muumini na kiti chakee, kwisha!!
 
ni kweli wapo mtoto jicho kama kikombe inshort ni wazuri wasiomithilika na ni makundi kwa makundi wanafahamika kama nur'ain (i stand to be corrected) na wapo kwa ajili ya kuwastarehesha Au kustarehe pamoja na wale waliojikurubisha kwa mola wao na kufumbia macho starehe za dunia
Mizgo itakua namna hyo
Hii in imani au simulizi. Na kama in simulizi aliyetoka huko na kuleta hii simulizi anaitwa nani.
Kama ni imani nawaachia wenye imani yao.
 
Kama huwezi kutulia kanisani, inakuwaje unaposafiri kiti kimoja na mwanamke mrembo.
Je unapokuwa kwenye makongamano inakuwaje?
Nakushauri umtafute mshauri nasaha.
 
He is gay kama anabisha atueleze. Maana kanisa linasisitiza familia kukaa pamoja na wakati wa kutakiana amani, familia kwanza. Huku tunapoishi lazima familia zikae pamoja na wakati wa baraka padre anatoa kwa kila familia na mnapotoka kanisani mnatoka kifamilia. Akikosekana mtu padre anajua fulani leo hayupo. Wewe kama siyo gay basi una matatizo yako. Gay siyo kosa sababu hukujiumba ila kaa kimya.
...we umejuaje kuwa ni gay,
..ulimpa akashindwa?
 
Ndio maana mimi napendelea kukaa viti vya mbele kabisa ibadani ili kuupa moyo wangu ahueni..
 
Mimi ni muumini wa Kanisa la Roman Catholic.

Utaratibu wa Kanisa umetenga upande wa wanaume na upande wa wanawake.Kinachonikera ni pale unakuta wanawake wanaingia kanisani na wanakuta upande wa akina mama nafasi zipo lakini baadhi yao hawapendi kukaa upande waliopangiwa wanaamua kujichomeka kati kati ya wanaume kitu ambacho mwanaume huwezi kwenda kukaa upande wao.

Najiuliza hivi huu ujasiri wanautoa wapi?Tena si wamama watu wazima ila ni mabinti.Huku si kuharibiana usikivu wa ibada?

Unaanza kuwaza mengine wakati uko kwenye ibada!Au hua mnatumwa na shetani?

Kama viongozi wa Kanisa mpo hebu jaribuni kulikemea hili,hasa Kanisa kuu Kigoma mabinti wanapenda sana kujipachika kati kati ya wanaume hata kama upande wao kuna nafasi.
Hilo katoliki liko wp au ni lako na familia linalotenga jinsia? Huo utaratb haupo ila unatokea kdg naturally ila mtu hachaguliwi akae wapi
 
Back
Top Bottom