Wanawake kuchanganyika na wanaume Kanisani

Mimi ni muumini wa Kanisa la Roman Catholic.

Utaratibu wa Kanisa umetenga upande wa wanaume na upande wa wanawake.Kinachonikera ni pale unakuta wanawake wanaingia kanisani na wanakuta upande wa akina mama nafasi zipo lakini baadhi yao hawapendi kukaa upande waliopangiwa wanaamua kujichomeka kati kati ya wanaume kitu ambacho mwanaume huwezi kwenda kukaa upande wao.

Najiuliza hivi huu ujasiri wanautoa wapi?Tena si wamama watu wazima ila ni mabinti.Huku si kuharibiana usikivu wa ibada?

Unaanza kuwaza mengine wakati uko kwenye ibada!Au hua mnatumwa na shetani?

Kama viongozi wa Kanisa mpo hebu jaribuni kulikemea hili,hasa Kanisa kuu Kigoma mabinti wanapenda sana kujipachika kati kati ya wanaume hata kama upande wao kuna nafasi.
Nilikuwa nazungumza na rafiki yangu mmoja ni mkristo wa Roman akaniambia kuwa.....[emoji116] [emoji116]
......baada ya YESU kufa msalabani aliondoka na tamaa zote na kwamba shetani hana nafasi tena kwenye mioyoni ya wanao mwamini YESU....sasa malalamiko haya yanaashiria nn

In short hayo ndiyo madhara ya kushindana na ukweli wa maumbile....

Biblia ilikataza wake kwa waume wasiotokana na familia moja kuchanganyika wakati wa ibada (zakaria 12:12-14)

Tena ikaagiza wanawake wajipambe kwa kujisitiri na wasioneshe mapambo yao kwa watu ambao sio ndugu zao(kama kaka, baba, mjomba n.k) kasome (1Timotheo 2:9-12)

Tena inasema wanawake wafunike vichwa vyao wawapo katika Ibada (1 wakorinto 11:5)

[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Lakini leo hii hayo hakuna linalofanyika.

....wanawake wanavaa mavazi ambayo sio ya kujisitiri kabisa........na ninyi wenyewe ni mashahidi mana lait yangekuwa ya kujisitiri huyu ndugu yetu hapa tusingemsikia analalamika...........

.....kuchanganyika ndio kama hivyo......

......vichwa wazi ibadani, tena asiyena nywele ndefu anaenda kutafuta wigi maalum la kuvalia kanisani.....
[emoji116] [emoji116]
Sasa hapo utulivu kwenye ibada utatoka wapi!?????[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Mimi ni muumini wa Kanisa la Roman Catholic.

Utaratibu wa Kanisa umetenga upande wa wanaume na upande wa wanawake.Kinachonikera ni pale unakuta wanawake wanaingia kanisani na wanakuta upande wa akina mama nafasi zipo lakini baadhi yao hawapendi kukaa upande waliopangiwa wanaamua kujichomeka kati kati ya wanaume kitu ambacho mwanaume huwezi kwenda kukaa upande wao.

Najiuliza hivi huu ujasiri wanautoa wapi?Tena si wamama watu wazima ila ni mabinti.Huku si kuharibiana usikivu wa ibada?

Unaanza kuwaza mengine wakati uko kwenye ibada!Au hua mnatumwa na shetani?

Kama viongozi wa Kanisa mpo hebu jaribuni kulikemea hili,hasa Kanisa kuu Kigoma mabinti wanapenda sana kujipachika kati kati ya wanaume hata kama upande wao kuna nafasi.

Hao wamechoka wanataka kutongozwa tu.
 
Acheni kuwaza ngono hivi upo kwa Mungu hata km mwanamke yupo pembeni utamuwaza kweli?.acheni kuwaza ngono kila mahari
 
Aisee hii mimi sikuwa najua kuwa in sheria japo nmekuwa nikiona hii kitu Malibu miaka yote siti has a ya katikati ndo huwa tunachanganyana tu na sjawai his I au halibu chochote huenda bila kujijua siwez kataa.na bado sijui kama in utaratibu tu au sheria
 
Kinachonikera ni pale unakuta wanawake wanaingia kanisani na wanakuta upande wa akina mama nafasi zipo lakini baadhi yao hawapendi kukaa upande waliopangiwa wanaamua kujichomeka kati kati ya wanaume kitu ambacho mwanaume huwezi kwenda kukaa upande wao.
Ni kweli tupu....huwa nashindwa kuelewa wanawake wanapenda kuja upande wa wanaume....angali sisi hatuthubutu kuenda ule upande wao
 
Binafsi nakuona hupendi kukaa na akina mama. For ur reasons. Huenda una mihemko or whatever.
Kwa Wakatoliki upande wa kulia ni Wanaume na upande wa kushoto ni wanawwke...wewe sijui unasali wapi....huo ndio utaratibu wetu
 
Hamna utaratibu hapo. Hata church doctrine haja ainisha iyo kitu. Unakaa upande wwte ule. Nendaa kawaulize ma katekista
 
Mimi ni muumini wa Kanisa la Roman Catholic.

Utaratibu wa Kanisa umetenga upande wa wanaume na upande wa wanawake.Kinachonikera ni pale unakuta wanawake wanaingia kanisani na wanakuta upande wa akina mama nafasi zipo lakini baadhi yao hawapendi kukaa upande waliopangiwa wanaamua kujichomeka kati kati ya wanaume kitu ambacho mwanaume huwezi kwenda kukaa upande wao.

Najiuliza hivi huu ujasiri wanautoa wapi?Tena si wamama watu wazima ila ni mabinti.Huku si kuharibiana usikivu wa ibada?

Unaanza kuwaza mengine wakati uko kwenye ibada!Au hua mnatumwa na shetani?

Kama viongozi wa Kanisa mpo hebu jaribuni kulikemea hili,hasa Kanisa kuu Kigoma mabinti wanapenda sana kujipachika kati kati ya wanaume hata kama upande wao kuna nafasi.
Hawa mara nyingi unakuta jana yake ametoka kwa waganga hivyo lazima atimize masharti na siyo kwamba anakuja kanisani kwa nia njema, sana sana kuja kutafuta wachumba.
 
Labda tuu nikusahihishe. Kanisani hakuna upande wa wanawake wala wanaume. Ila ni mazoea fulani yaliyo jijenga. Kaninisani hakuna limitation mahala pa kukanyaga. Hata ww unawwza simama hata madhabahuni. Kama ww ni msomaji wa biblia rejea pale mahali ambapo pazilia lilipasuka katikati likatenganisha patakatifu pa patakatifu na sehemu nyingine ya waumini

My take

Binafsi nakuona hupendi kukaa na akina mama. For ur reasons. Huenda una mihemko or whatever.

Nawasilisha.
He is gay kama anabisha atueleze. Maana kanisa linasisitiza familia kukaa pamoja na wakati wa kutakiana amani, familia kwanza. Huku tunapoishi lazima familia zikae pamoja na wakati wa baraka padre anatoa kwa kila familia na mnapotoka kanisani mnatoka kifamilia. Akikosekana mtu padre anajua fulani leo hayupo. Wewe kama siyo gay basi una matatizo yako. Gay siyo kosa sababu hukujiumba ila kaa kimya.
 
Siku hizi maisha yamebadilik sana Vijana hawataki kuoa kabisa na hata wengine baadhi yao wameshaanza kuhic harufu ya kuitwa madunga embe xo lazma watumie nguvu ya ziada
 
Ni nadra sana!Ila akina dada hata aone nafasi upande wao lazima aje kwa wanaume.Na nimewakariri ni wale wale siku zote wanapenda kukaa na wanaume.Sijui hawapendi wanawake wenzao!au sijui wana mapepo gani!
Umesema kweli hata kanisani kwetu ni hivyo hivyo, yaani wanapenda kujichomeka chomeka na viti kwa akina mama vipo wazi, ni tabia mbaya sana.
 
He is gay kama anabisha atueleze. Maana kanisa linasisitiza familia kukaa pamoja na wakati wa kutakiana amani, familia kwanza. Huku tunapoishi lazima familia zikae pamoja na wakati wa baraka padre anatoa kwa kila familia na mnapotoka kanisani mnatoka kifamilia. Akikosekana mtu padre anajua fulani leo hayupo. Wewe kama siyo gay basi una matatizo yako. Gay siyo kosa sababu hukujiumba ila kaa kimya.
Ahahaha
 
Mimi ni muumini wa Kanisa la Roman Catholic.

Utaratibu wa Kanisa umetenga upande wa wanaume na upande wa wanawake.Kinachonikera ni pale unakuta wanawake wanaingia kanisani na wanakuta upande wa akina mama nafasi zipo lakini baadhi yao hawapendi kukaa upande waliopangiwa wanaamua kujichomeka kati kati ya wanaume kitu ambacho mwanaume huwezi kwenda kukaa upande wao.

Najiuliza hivi huu ujasiri wanautoa wapi?Tena si wamama watu wazima ila ni mabinti.Huku si kuharibiana usikivu wa ibada?

Unaanza kuwaza mengine wakati uko kwenye ibada!Au hua mnatumwa na shetani?

Kama viongozi wa Kanisa mpo hebu jaribuni kulikemea hili,hasa Kanisa kuu Kigoma mabinti wanapenda sana kujipachika kati kati ya wanaume hata kama upande wao kuna nafasi.
Ingekuwa hayo madai yako ni kweli, Wazee na Maparoko wangezuia wanaume na wanawake wasichangie mabenchi.

BTW sijaona andiko kuwa kuna mbingu tofauti baina ya wanawake na wanaume, wote wanaenda mbingu moja.

Kingine, unapoingia kwenye basi huangalii wala kuchagua siti kwa vigezo vya mwanamke na mwanaume, akili yako yote ni kuwa basi likufikishe salama huko uendako, na Kanisani uwe na mtazamo huo.

Vv
 
wacha porojo na tamaa zako mpaka kwenye ukucha,mimi ni muumini wa Roman pia,lakini mbona hua tunachanganyika na wala hakuna shida,ukiweka mawazo ktk ibada basi shikilia hapo sio mara huku au kule,hivi mfano kanisani wamejaa wakina mama na upande wao viti vimeenea,na upande wa akina baba una naafasi,watasimama nje eti kisa hatutakiwi kukaa upande wa akina baba??haya ya zamani sasahivi ni mixer tu
 
Hamna utaratibu hapo. Hata church doctrine haja ainisha iyo kitu. Unakaa upande wwte ule. Nendaa kawaulize ma katekista
Kanisa linaheshimu tamaduni ya kanisa mahalia...Mf. Korea makanisa mengi watu wanasali wakiwa wamekaa chini na kukunja miguu...

Afrika ni utamaduni wetu tuliojiwekea wanaume kukaa upande wao na wanawake upande wao..hivyo kanisa linaheshimu huo utamaduni...

Mf mwingine....Liturgical Dancing....Kanisa la Ulaya na Amerika ni mwiko ku-dance during mass..ila kwa Afrika Liturgical Dancing inaruhusiwa.. Kwasababu ni utamaduni wetu....
 
Back
Top Bottom