Wanawake kuchanganyika na wanaume Kanisani

yani unatamani hadi kanisani ivi mnaishigi na kuna nani uko majumbani kwenu? uwe unaongea na wanawake uwazoee siku utabaka uchomwe moto
 
Mimi ni muumini wa Kanisa la Roman Catholic.

Utaratibu wa Kanisa umetenga upande wa wanaume na upande wa wanawake.Kinachonikera ni pale unakuta wanawake wanaingia kanisani na wanakuta upande wa akina mama nafasi zipo lakini baadhi yao hawapendi kukaa upande waliopangiwa wanaamua kujichomeka kati kati ya wanaume kitu ambacho mwanaume huwezi kwenda kukaa upande wao.

Najiuliza hivi huu ujasiri wanautoa wapi?Tena si wamama watu wazima ila ni mabinti.Huku si kuharibiana usikivu wa ibada?

Unaanza kuwaza mengine wakati uko kwenye ibada!Au hua mnatumwa na shetani?

Kama viongozi wa Kanisa mpo hebu jaribuni kulikemea hili,hasa Kanisa kuu Kigoma mabinti wanapenda sana kujipachika kati kati ya wanaume hata kama upande wao kuna nafasi.
Katika Kanisa HAKUNA upande wa wanawake wala upande wa wanaume.

Yanapotokea ni Mazoea tu.

Isipokua KUNA Maliwato ya wanaume na ya wanawake.
 
Mimi ni muumini wa Kanisa la Roman Catholic.

Utaratibu wa Kanisa umetenga upande wa wanaume na upande wa wanawake.Kinachonikera ni pale unakuta wanawake wanaingia kanisani na wanakuta upande wa akina mama nafasi zipo lakini baadhi yao hawapendi kukaa upande waliopangiwa wanaamua kujichomeka kati kati ya wanaume kitu ambacho mwanaume huwezi kwenda kukaa upande wao.

Najiuliza hivi huu ujasiri wanautoa wapi?Tena si wamama watu wazima ila ni mabinti.Huku si kuharibiana usikivu wa ibada?

Unaanza kuwaza mengine wakati uko kwenye ibada!Au hua mnatumwa na shetani?

Kama viongozi wa Kanisa mpo hebu jaribuni kulikemea hili,hasa Kanisa kuu Kigoma mabinti wanapenda sana kujipachika kati kati ya wanaume hata kama upande wao kuna nafasi.
Naomba nikupinge lakini pia unaruhusiwa kunisahihisha kwa facts! Kwa miaka zaidi ya 30 sijaona kanisa lolote la katoliki lililotenga sehemu ya wanaume na wanawake, sijawahi ona hili jambo sehemu zote nilizoenda labda huko kwenu sijui ni Kolomije au wapi? Wewe mwenyewe unajua!
.
.
Kanisa lina sehemu mbili za kukaa na haijawahi kutangazwa kuwa hapa ni kwa wanawake au wanaume. Ni mazoea na utashi wa watu wenyewe. Hata mimi nikienda sehemu kwenye kundi la watu najikuta tu nimeenda kukaa kwenye kikundi chenye wanawake, ni mazoea ya kawaida kiubinadamu.
.
.
Tunahudhuria ibada sehemu mbali mbali tunajichanganya tu na wanaume na hakuna sheria yoyote!
.
.
Muulize vizuri Paroko wako kabla hujauaminisha umma kitu ambacho ni cha kufikirika kichwani mwako.
Unaruhusiwa kunipinga kwa ushahidi na sitapingana na wewe, inawezekana sheria ipo na bado sijaifahamu!
 
Mimi ni muumini wa Kanisa la Roman Catholic.

Utaratibu wa Kanisa umetenga upande wa wanaume na upande wa wanawake.Kinachonikera ni pale unakuta wanawake wanaingia kanisani na wanakuta upande wa akina mama nafasi zipo lakini baadhi yao hawapendi kukaa upande waliopangiwa wanaamua kujichomeka kati kati ya wanaume kitu ambacho mwanaume huwezi kwenda kukaa upande wao.

Najiuliza hivi huu ujasiri wanautoa wapi?Tena si wamama watu wazima ila ni mabinti.Huku si kuharibiana usikivu wa ibada?

Unaanza kuwaza mengine wakati uko kwenye ibada!Au hua mnatumwa na shetani?

Kama viongozi wa Kanisa mpo hebu jaribuni kulikemea hili,hasa Kanisa kuu Kigoma mabinti wanapenda sana kujipachika kati kati ya wanaume hata kama upande wao kuna nafasi.
Inategemeana na mavaz... Kama amevaa vizuri Fresh tu ibada inaendlea
 
Labda tuu nikusahihishe. Kanisani hakuna upande wa wanawake wala wanaume. Ila ni mazoea fulani yaliyo jijenga. Kaninisani hakuna limitation mahala pa kukanyaga. Hata ww unawwza simama hata madhabahuni. Kama ww ni msomaji wa biblia rejea pale mahali ambapo pazilia lilipasuka katikati likatenganisha patakatifu pa patakatifu na sehemu nyingine ya waumini

My take

Binafsi nakuona hupendi kukaa na akina mama. For ur reasons. Huenda una mihemko or whatever.

Nawasilisha.

Ambaye anaangalia jinsia ya muumini wakati wa ibada hana imani kwa alichofuata kanisani. Kama unasali mihemko inatoka wapi? Thibiti tamaa zako kwa kusali na kumwomba Mungu kwa dhati na hayo mawazo machafu yatatoweka.
 
Back
Top Bottom