Wanawake kuchanganyika na wanaume Kanisani

Wanawake kuchanganyika na wanaume Kanisani

Ni nadra sana!Ila akina dada hata aone nafasi upande wao lazima aje kwa wanaume.Na nimewakariri ni wale wale siku zote wanapenda kukaa na wanaume.Sijui hawapendi wanawake wenzao!au sijui wana mapepo gani!
Kati yao na wewe ni yupi mwenye mapepo?

Unapata wapi muda wa kufikiria hayo maovu ukiwa kanisani?

Ulifuata hayo?
 
Mimi ni muumini wa Kanisa la Roman Catholic.

Utaratibu wa Kanisa umetenga upande wa wanaume na upande wa wanawake.Kinachonikera ni pale unakuta wanawake wanaingia kanisani na wanakuta upande wa akina mama nafasi zipo lakini baadhi yao hawapendi kukaa upande waliopangiwa wanaamua kujichomeka kati kati ya wanaume kitu ambacho mwanaume huwezi kwenda kukaa upande wao.

Najiuliza hivi huu ujasiri wanautoa wapi?Tena si wamama watu wazima ila ni mabinti.Huku si kuharibiana usikivu wa ibada?

Unaanza kuwaza mengine wakati uko kwenye ibada!Au hua mnatumwa na shetani?

Kama viongozi wa Kanisa mpo hebu jaribuni kulikemea hili,hasa Kanisa kuu Kigoma mabinti wanapenda sana kujipachika kati kati ya wanaume hata kama upande wao kuna nafasi.
Fact 1: wanawake ni wengi kuliko wanaume duniani wanatakiwa watengewe 3/4 ya kanisa
Fact 2: wanawake wanaohudhuria kanisani pia ni wengi kuliko wanaume kwa hiyo upande wa 'wanawake' huwa unajaa na kusema ukweli wanasaidia wanaume kutokusemwa kila jumapili kanisani, ingekuwa benchi tupu.
Fact 3: Wengine wamezoea kukaa kifamilia na kwa vile wanaume wanaogopa wanawake, hukaa upande wa wanaume. Hao mabinti wanakuwa wamezoea.
Fact 4: Upande wa kuume ni kila kitu, hata kwenye dini au protakali za maisha. Wewe uko juu ukiwa upande wakulia.

Ushauri wangu kwako: wewe hauko kwenye kwaya, (ungekuwa upande wa wanawake), pengine hata kwenye vyama vya kitume hauko, assuming hujaoa na wewe ni mwanaume rijali, jenga mazoea na binti mkitoka kanisani au hata wakati wa kupeana mikono ya Amani, hiyo ndiyo sehemu ya kupata God fearing wife, sio hao wakuokota kwenye madisco na sehemu nyingine za starehe, unless iwe picnic ya Askofu kwa viwawa ufukweni.
 
Mkuu dhahabu ina thamani sana, ila haiwi safi mpaka ipite kwenye moto!

Majaribu ni mtaji! Ana heri anayeshinda majaribu!

Na ole wake aletaye majaribu!
 
Huo utaratibu wewe ndiye unayesema umepangwa na kanisa ila haikuwa imepangwa. Kutokana na maadili ya wazee wetu haikuruhusiwa mwanamke ambaye hajaolewa kukaa karibu na mwanaume isipokuwa pale anapokuwa ameolewa.Masista wenyewe mbona wanakaa upande wa wanaume? Kama hiyo ni sheria ya kanisa wao wangekuwa wanasisitizwa kukaa upande wa ke. Wakati mnaapa kanisani mnasema mmekuwa mwili mmoja sasa iweje kichwa kiwe vingunguti na kiwiliwili kiwe mbagala? Pia kutokana na wingi wa jinsia hiyo hawana budi kukaa upande wowote. Asilimia kubwa jinaia ya kike iko mbele zaidi katika kushiriki ibada, jumuiya na shughuli zingine ilhali wanaume ni wahudhuriaji zaidi baa, mpirani kahawa.

Kama umeanza ubaguzi hadi kwenye nyumba za ibada akili yako haiko salama.yawezekana hata mkipanda basi na mkeo unakimbilia dirishani ili uweke kishoka.Kwa Mungu hakuna me wala ke. " mpende jirani yako kama nafsi yako"
 
KWANI SIKU HIZI BADO KUNA IBADA??? WATU WANACHEKI HADI PORNAL KANISANI
 
ndoa zimekuwa ngumu,wengi wanaamini kwenye nyumba za ibada kuna uafadhali.
wengine ni wauzaji tuu,haswa kwenye haya madhehebu mapya me nishagegeda weengi tuuu.
mkuu umesahau na uvaaji wao dah
 
Wewe mtoa mada huwa huendi Kanisa badala yake wewe ni pendapenda tu, iko hivi hata kama ukifungiwa peke yako chumban kama hiyo ndio tabia yako haitasaidia cha msingi ni kufahamu kuwa ss wanadam tumeumbwa kwa namna ya kutamani ni hali ambayo huwez iondoa as a human being unachokifanya pale unapokumbana na hali hiyo ni kuivuta concentration yako kwa neno linalotolewa na kuomba usijeukajiingiza katka uasherati au uzinzi. Dada aliyevaa kimini au amekaa karibu yako hilo hlina tatizo kabisa mbona huko mtaani au kazn mnakaa nao meza moja? Shughulika na chanzo cha tatizo kutoka kwako kwanza kabla hujalalamikia upande mwingine.
 
Kwanza hao wanawake wanajifunika vichwa kama biblia inavyosema?

1 Wakorintho 11
5 Bali kila mwanamke asalipo, au anapohutubu, bila kufunika kichwa, yuaaibisha kichwa chake; kwa maana ni sawasawa na yule aliyenyolewa.
6 Maana mwanamke asipofunikwa na akatwe nywele. Au ikiwa ni aibu mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa, na afunikwe.

Kama hawafuniki vichwa na mpo nao makanisani anzeni kwa kuwakata nywele kama biblia inavyosema. Tutajuwa kweli mnaifata biblia, bila hivyo ni kudanganyana tu, na nyote, wanawake kwa wanaume makanisani mnafata matamanio yenu tu.

Wacheni kujidanganya.
 
Kwanza hao wanawake wanajifunika vichwa kama biblia inavyosema?

1 Wakorintho 11
5 Bali kila mwanamke asalipo, au anapohutubu, bila kufunika kichwa, yuaaibisha kichwa chake; kwa maana ni sawasawa na yule aliyenyolewa.
6 Maana mwanamke asipofunikwa na akatwe nywele. Au ikiwa ni aibu mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa, na afunikwe.

Kama hawafuniki vichwa na mpo nao makanisani anzeni kwa kuwakata nywele kama biblia inavyosema. Tutajuwa kweli mnaifata biblia, bila hivyo ni kudanganyana tu, na nyote, wanawake kwa wanaume makanisani mnafata matamanio yenu tu.

Wacheni kujidanganya.

arton217.jpg


Padri wa Kanisa Katoliki Anaswa Kichakani Ndani Ya Gari Akiwa Na Mrembo UCHI
Chanzo: http://sw.makuruki.rw/spip.php?article217
Weka na zile habari za wanaolawiti watoto wa madrassa
 
Back
Top Bottom