Wanawake kaeni mbali na Wanaume wa Kikongo otherwise utajuta

Wanawake kaeni mbali na Wanaume wa Kikongo otherwise utajuta

Wala siyo wanawake wa JF tu,.

Kibongo bongo mambo ndo yalivyo...'kusikia sikia' kwingi sana

Watu ambao hujishughulisha na kuutafuta ukweli ni wachache sana.

We huoni tu hata humu jinsi 'kujuana' kulivyo kwingi licha ya hata hamjuani kweli.

Chukulia tu kwa mfano, wangapi humu 'wananijua' mimi?

Mara wengine hudai mimi ni mzee wa miaka sitini na kitu...mara wengine hudai mimi sijui punga...

Yaani ni upuuzi puuzi tu ndo tunaouweza.

yaani unakuta woote waliowasifia wanaume wa west hakuna hata mmmoja alie tembea nao
only he said she said....na usikute huko waganga wauza dawa za kiume tele kama Dar tu..
 
Hivi unadhani wanawake wakiwa peke yao wanaongea umbea gani...kama mnavyochambua wanawake, na nyie ndo hivyo hivyo mnachambuliwa...hasa mkijifanya wajanja...

Kuna jamaa mmoja alikuwa anajifanya pedeghee tukiwa chuo...kapitia pitia mabinti...kilichofuata habari zikazagaa kuwa hana lolote si chochote...anachafua mabinti tu....with time soko lake likapotea...

Kuna wasichana waliodata kwenye kila community hao ndio source ya info nyingi...tulikuwa tunawahita makungwi...yani hao wanafanya experiments afu wanakuja kutoa matokeo...

yaani unakuta woote waliowasifia wanaume wa west hakuna hata mmmoja alie tembea nao
only he said she said....na usikute huko waganga wauza dawa za kiume tele kama Dar tu..
 
Huna tofauti na mtu aliyelewa mataputapu, hujui hata unaloliongea ni nini, hebu niondolee kiwingu.
Kwa kawaida muungwana hujenga hoja, ni pale mjenga hoja akiishiwa huanza matusi na kutokwa povu. Kuanzia leo nimekuelewa na pengine kupitia hoja zako wengine wamepata bahati ya kukuelewa. Naomba unisamehe kwa kukukwaza maana nyie watu wa mjini mna madarasa wakati sie wa vijijini mwenyezi mungu anatubariki kwa shule zetu za kata. Karibu sana Njinjo maana huku mataputapu yanakatazwa na siku hizi kiangazi mawingu yamesepa.
 
yaani unakuta woote waliowasifia wanaume wa west hakuna hata mmmoja alie tembea nao
only he said she said....na usikute huko waganga wauza dawa za kiume tele kama Dar tu..

Hata kama wapo waliotembea nao, bado mtu huwezi uka-make sweeping generalization ya wanaume wa taifa zima!

That is crazy and silly talk!
 
Si kila taifa tabia za watu wake zinafafa. Kwa hiyo samaki mmoja akioza haimaanishi wameoza wote.
 
ha ha ha, hii tech ya kuchanjia naijua, sijui.niamue kuwa mganga?

Ila ukisahau kustopisha inakuwa oversize.
Hapa sasa unachanganya madesa hiyo ya kuchanja kungeza uume ni vitu viwili tofauti, ule unga wa kupaka kwenye kichwa cha uume ni viagra ya asili ambayo yasemekana haina madhara mwisho wa siku ujuzi ni wa mtombaji mwenyewe ule unga unasaidia tu mishipa ya damu kutanuka na uume kusimama muda mrefu kuliko kawaida yake.

Kula mzigo na kuukojolesha hizo ni taaluma za watu, mwanamke hata usimamie show saa nzima kama hakupendi au humuelewi hawezi kukojoa. wapo wanawake wanaodhani huwa wanakojoa kumbe si kweli.
 
Siku moja nilikaa na dada zangu wawili. Mala akaja rafiki yao wa Tatu, sina hili wala lile kumbe kila mtu Ana bwana'ke wa kokongo (FM academia) jamaa wamekuja hata salamu hakuna, wana mapose, wanaringa, wamekunywa mpaka basi, na bill kwangu, nikaona dawa yao ipo ngoja niwasogeze kwao, tukatoka mpaka Meridian, agiza mchemsho wa kuku wa kienyeji kila mtu nusu, nikapiga nusu yangu, nikapotea, sijawaona mpaka leo na sijui ilikuwaje.
 
Sina mzaha wala masikhara kwenye segment hiyo, hapo ndipo heshima ya mwanaume ilipo. na isitoshe hata kama huna pesa wanawake wengi wanapenda mtu smart na Wacongo kwenye hili wamewin.

Nina rafiki yangu mcongo huwa nikitokelezea ananisifu na kunipamba mbele za watu mpaka kichwa kinavimba, anaanza kukisifia kiatu mpaka bei yake Paris anakuja kwenye shati mpaka unasikia raha, sasa mtu huyu akikutana na demu mkali unadhani ana ujanja? kama ana uwezo kutake my attention vipi kwa mtoto wa kike.

Mkuu samahi unasifiwa na mwanaume mwenzio... kunauwalakini mkuu
 
Ingawa sijawahi kufika Dar, hivyo Show za Ngwasuma sizijui. Kwa andiko hili naomba unithibitishie hata kwa kunikejeli kuwa unatutania tu. Kama uko serious basi saa hizi Lara 1 anajuta kujilipua kuwa nyie ni chanda na pete. Sidhani hata the so called shemeji yako Miss Chagga hatapata usingizi maana katika mada zake hukusifia kuwa wewe ni kifaa na jembe.

Nipo kwenye uchunguzi yakinifu kijua shemeji yangu wapi tatizo
 
Mkuu samahi unasifiwa na mwanaume mwenzio... kunauwalakini mkuu

Hili ndio tatizo la kujumpjump bila kusoma post kwa mtililiko, kama hujui wanaume wanavyosifia njoo bar ukutane na wanaokunywa bia kwa kuboomboom au simple nenda Mango garden kaa meza karibu na yule shoeshine subili wapiga mizinga ya bia wakifika ndio utajuwa kuna watu mshipa wa noma umekufa.

kwanza kuna baadhi ya thread mtu ambaye si mkazi wa Dar na hatembelei Kinondoni wala hawezi kujuwa hapa tunaongea nini.
 
Ha.ha ha umesahau na bonga bar nayo vip?
 
Siku moja nilikaa na dada zangu wawili. Mala akaja rafiki yao wa Tatu, sina hili wala lile kumbe kila mtu Ana bwana'ke wa kokongo (FM academia) jamaa wamekuja hata salamu hakuna, wana mapose, wanaringa, wamekunywa mpaka basi, na bill kwangu, nikaona dawa yao ipo ngoja niwasogeze kwao, tukatoka mpaka Meridian, agiza mchemsho wa kuku wa kienyeji kila mtu nusu, nikapiga nusu yangu, nikapotea, sijawaona mpaka leo na sijui ilikuwaje.

Walijua umejikomba kuwanywesha wao kama stars. Ukawapa live show ya kibongo. Waende huko Kenya. Kila mtu na bili yake.
 
Back
Top Bottom