Wanawake kaeni mbali na Wanaume wa Kikongo otherwise utajuta

Wanawake kaeni mbali na Wanaume wa Kikongo otherwise utajuta

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Hello friends,
Kwa kipindi kirefu sana Dr. MCHUNGUZI HURU (Phd) nimefanya uchunguzi wa kina juu ya mahusiano ya kimapenzi baina ya Watanzania (wanawake) na Wakongo (wanaume).

Kiufupi hapa Africa hakuna wanaume na waongo zaidi ya wakongo, wakongo ni waongo waongo waongo mpaka kero. Hata wanaume wa kitanzania hawawafiki wakongo.

Tabia kuu ya wakongo ni kuchuna wanawake wa kitanzania na wanawake hao wakifulia wakongo wanawakimbia. Mwanaume wa kikongo hawezi kuwa na mwanamke asiye na pesa kwa hapa Tanzania kwani wengi wao wamejazana kinondoni na hawana shughuli maalumu.

Huwa wanawapumbaza wanawake kwanjia kuu mbili:
1. Kumpatia mwanamke kitu kidogo ili wapate kikubwa. Kwa mfano; Mwanamke ana mtoto anasoma shule na ada ni milioni moja, basi mkongo atalipa hiyo ada ya milioni moja then baada ya wiki mbili tu utasikia anajieleza kwa mwanamke anashida ya milioni tatu na dada zetu huwa wanatoa kama wanayo na kama hawana wataenda kukopa. Mwanamke huwa anasema "ngoja nimpe tu jamani, mtu mwenyewe anaupendo sana kwangu na mwanangu yaani alinilipia na ada ya shule" bila ya kufikiri anachotoa ni kikubwa kuliko alichopewa.

2. Kulia; Wakongo wanapenda sana kuigiza wanalia, na si kidogo. Analia kabisa na machozi yanatoka huku akikwambia "sheriiii usiniache, jua nakupenda sana". Dada zetu hawajawahi kuliliwa na mwanaume basi wanachanganyikiwa wanatoa kila walichonacho.

KUMBUKA: Siku ukifulia Mkongo anakuacha na atakutukana matusi yote unayoyajua na hautaamini kama niyeye aliyekuwa analia.

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
 
Last edited by a moderator:
me sijafanya uchunguzi.. ngoja nifanye check up..
 
Uongo ndio lugha inayopendwa na wanawake wengi kwahiyo uchunguzi wako hauna mashiko.

Watu wango hata siku moja hutosikia wanakuja hapa kulalamika kutendwa na nakuonya kwenye maisha yako usithubutu kumwambia mwanamke kwamba jamaa anayekupigia misele siyo"
 
Basi pale chuoni kwetu misichana ya kitanzania inasema inawapenda sababu ya kupigwa huko chini. Wanatuona kaka zao kama hatuwezi vile
 
wanapaka ungaunga ule ili mashine ikobowe muda mrefu, sometime mwanaume kama hana pesa ndio utaenjoy mapenzi maana ndio silaha yake ya mwisho the best he can offer.

Anajijua hana pesa sasa hata sanaa ile nae ashindwe??ha ha ha lazima akomae nayo si mchezo
 
Anajijua hana pesa sasa hata sanaa ile nae ashindwe??ha ha ha lazima akomae nayo si mchezo
Chunguza kwa makini sana utagunduwa wenye pesa wengi ndio wanaotembewa ni kama division of labour.

Mtu saa zote yuko bize na biashara na kazi mpaka kitandani mmelala misimu yake ni delivery note, bill of loading, Letter of credit, invoince and likes hivi huyu atakunyonya K kweli?
 
Back
Top Bottom