Replies
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,497
- 453
Dada zetu wanashoboka na waCongo si kwa hela, mcongo hatoi hata laki Tano kwa demu, mala nyingi wanataka mwanamke mwenye kipato, anaependa miziki yao, jukumu lake ni kumtajataja ktk kila wimbo na kumsifia, dada akidata anatoka nae, huku wana dawa ya miti shamba maarufu kama "chakupaka" kwa mujibu ya watumiaji deshe linasimama kama mti lakini linakuwa kama lina ganzi, yeye haenjoi chochote ila anamfurahisha mwanamke, na anaweza kupiga game 1hour, akishaona demu kakolea anaanza kumletea wasanii maarufu na kumkutanisha nao, wakifika wanamsifia na kumnywea bia kwa bill yake, baada mizinga ya nguvu ya kufa mtu, hawana hela wao wenyewe wanakaa jumba lao kama hostel, kula kwa timing, wengi ya wacongo ni mkono wa sweta.
Aisee dada zetu waamke si kugegedwa tu free of charge kiivyo