The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,669
Exactly...Utashangaa nao wa-Bongo wakiwa wakiwa nje ya nchi wanasifiwa kuwa wanajua kubanjua. Inaelekea nchi zote kuna katabia kakuona wanaume wa nje kwa jicho tofauti!
Exactly...Utashangaa nao wa-Bongo wakiwa wakiwa nje ya nchi wanasifiwa kuwa wanajua kubanjua. Inaelekea nchi zote kuna katabia kakuona wanaume wa nje kwa jicho tofauti!
Utashangaa nao wa-Bongo wakiwa wakiwa nje ya nchi wanasifiwa kuwa wanajua kubanjua. Inaelekea nchi zote kuna katabia kakuona wanaume wa nje kwa jicho tofauti!
Wanaume Wakikongo tena wanapenda wanawake wenye hela zao na wanajirahisha kwa kila mwanamke ili kupata hela wanapenda umariooo
Utashangaa nao wa-Bongo wakiwa wakiwa nje ya nchi wanasifiwa kuwa wanajua kubanjua. Inaelekea nchi zote kuna katabia kakuona wanaume wa nje kwa jicho tofauti!
The grass is always greener on the other side of the fence!
The grass is always greener on the other side of the fence!
Nasikia viuno feni......
Ingawa sijawahi kufika Dar, hivyo Show za Ngwasuma sizijui. Kwa andiko hili naomba unithibitishie hata kwa kunikejeli kuwa unatutania tu. Kama uko serious basi saa hizi Lara 1 anajuta kujilipua kuwa nyie ni chanda na pete. Sidhani hata the so called shemeji yako Miss Chagga hatapata usingizi maana katika mada zake hukusifia kuwa wewe ni kifaa na jembe.Kwa niaba yako na wale wote wenye same comments kama zako nawaalika weekend kwenye show ya Ngwasuma ndio muone Rais wa Pamba ninaporushwa hewani huku pembeni nipo na Rais wa Pesa halafu sebene limekubali wote mtakuja kufuta hizi comment zenu ziliwotawaliwa na njaa.
Wapi Pedeshee Ben baada ya Mungu ni weweee na kati ya Washngton Dc.
Hapo Nyoshi Elisaadat anaita wadau kwa cv zao kuja kumwaga manoti on the stage, halafu linatokea pimbi JF na njaa zake eti ataki watoa pesa wasifiwe!
Mmmh, TZ kubwa sana hii
Always and always nilienda Kampala Yaani ukisema tu unatoka tz wadada wanakugombea
Huna tofauti na mtu aliyelewa mataputapu, hujui hata unaloliongea ni nini, hebu niondolee kiwingu.Ingawa sijawahi kufika Dar, hivyo Show za Ngwasuma sizijui. Kwa andiko hili naomba unithibitishie hata kwa kunikejeli kuwa unatutania tu. Kama uko serious basi saa hizi Lara 1 anajuta kujilipua kuwa nyie ni chanda na pete. Sidhani hata the so called shemeji yako Miss Chagga hatapata usingizi maana katika mada zake hukusifia kuwa wewe ni kifaa na jembe.
Najua kaka zetu huko nje wanasifiwa upole...
sijasikia kama wana sifa zile za bakongo...au west Africans..
Mwenyewe sijawahi kusikia kaka zangu wakisifiwa kwa gwaride. Ni upole tu.
Ukiacha utapeli na mazagazaga yaendanano, west Africans wanapiga gwaride tena lililoenda jeshini.
Kwa niaba yako na wale wote wenye same comments kama zako nawaalika weekend kwenye show ya Ngwasuma ndio muone Rais wa Pamba ninaporushwa hewani huku pembeni nipo na Rais wa Pesa halafu sebene limekubali wote mtakuja kufuta hizi comment zenu ziliwotawaliwa na njaa.
Wapi Pedeshee Ben baada ya Mungu ni weweee na kati ya Washngton Dc.
Hapo Nyoshi Elisaadat anaita wadau kwa cv zao kuja kumwaga manoti on the stage, halafu linatokea pimbi JF na njaa zake eti ataki watoa pesa wasifiwe!
Wachache.......hawa wanajua kuikatikia miuno.Yaan mchi unazunguka kama feni ikiwa ndani ya kinu.
Najua kaka zetu huko nje wanasifiwa upole...
sijasikia kama wana sifa zile za bakongo...au west Africans..
Umeona eehhh ...wa west kama nilisikia kuna vitu wanafanya...sijuhi wanachanjia...nasikia na wapemba nao wanachanjia...nina rafiki yangu alikaa pemba alinipa hizi story...