Hapo ndio umemaliza kaka.
wanaume wa kibongo nao mnatuangusha sie wabaguzi wa rangi. Unakuta mtu sio muaminifu, anapigiwa simu hadi saa tisa za usiku na wanawake zake. Akiulizwa ubabe, anarusha na ngumi.
Nyumbani no communication, unashangaa tu kaingiza range rover imepark hapo. Ukiwinda card imeandikwa jina lako. Mara houseboy anaropoka naenda site ya kunduchi kuna mabati yanaletwa leo. Unashangaa mabati, meaning kunajengwa?
hapo mkongo wa saluni asipohusika ujue kina
Excel watakusaidia. Manake mkongo anajieleza stori hapa na kule. Mwisho mnajenga bond. Japo ukiwa mwanamkr mwenye akili unajua mpaka wa kuzoeana