Wanawake kaeni mbali na Wanaume wa Kikongo otherwise utajuta

Wanawake kaeni mbali na Wanaume wa Kikongo otherwise utajuta

Mi mwenyewe nilijua wapemba wanaonga mchele na sukari ndio sababu ya kuvunja ndoa za watu....

Kumbe jigwaride...na aliyenisumulia ni mlokole sasa...usiniulize kajuaje...alikuwa teacher kule miezi sita tu lakini kajua yote hayo...

Waunguja wasidandie hii sifa...ni wapemba tuuu...

ha ha, hadi wapemba wana gwaride pamoja na kula urojo?

Basi mie nawaonaga anaweza kukufia kifuani.
 
Bamutu ya Congo, mutu ya pamba, mukanda safffi laini ile ya mashamukwale, mukofia iko natoka Paris, kiatu nakufa nyoka mutatu, masauti ya kasuku na simba....iko namwaga mauno kama fally ipupa di caprio anelka el magnifico...waaa
 
Chunguza kwa makini sana utagunduwa wenye pesa wengi ndio wanaotembewa ni kama division of labour.

Mtu saa zote yuko bize na biashara na kazi mpaka kitandani mmelala misimu yake ni delivery note, bill of loading, Letter of credit, invoince and likes hivi huyu atakunyonya K kweli?

Kweliiii tupu
 
Naam kuna thread mtu kama maisha yake hajawahi kufika kinondoni kwakweli akae pembeni tu maana mikato ya bana Congo hawaijui Petit.
 
Hello friends,
Kwa kipindi kirefu sana Dr. MCHUNGUZI HURU (Phd) nimefanya uchunguzi wa kina juu ya mahusiano ya kimapenzi baina ya Watanzania (wanawake) na Wakongo (wanaume).

Kiufupi hapa Africa hakuna wanaume na waongo zaidi ya wakongo, wakongo ni waongo waongo waongo mpaka kero. Hata wanaume wa kitanzania hawawafiki wakongo.

Tabia kuu ya wakongo ni kuchuna wanawake wa kitanzania na wanawake hao wakifulia wakongo wanawakimbia. Mwanaume wa kikongo hawezi kuwa na mwanamke asiye na pesa kwa hapa Tanzania kwani wengi wao wamejazana kinondoni na hawana shughuli maalumu.

Huwa wanawapumbaza wanawake kwanjia kuu mbili:
1. Kumpatia mwanamke kitu kidogo ili wapate kikubwa. Kwa mfano; Mwanamke ana mtoto anasoma shule na ada ni milioni moja, basi mkongo atalipa hiyo ada ya milioni moja then baada ya wiki mbili tu utasikia anajieleza kwa mwanamke anashida ya milioni tatu na dada zetu huwa wanatoa kama wanayo na kama hawana wataenda kukopa. Mwanamke huwa anasema "ngoja nimpe tu jamani, mtu mwenyewe anaupendo sana kwangu na mwanangu yaani alinilipia na ada ya shule" bila ya kufikiri anachotoa ni kikubwa kuliko alichopewa.

2. Kulia; Wakongo wanapenda sana kuigiza wanalia, na si kidogo. Analia kabisa na machozi yanatoka huku akikwambia "sheriiii usiniache, jua nakupenda sana". Dada zetu hawajawahi kuliliwa na mwanaume basi wanachanganyikiwa wanatoa kila walichonacho.

KUMBUKA: Siku ukifulia Mkongo anakuacha na atakutukana matusi yote unayoyajua na hautaamini kama niyeye aliyekuwa analia.

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

KUNA MOJA YA NYONGEZA. KAMA MDADA NI MLOKOLE BASI MKONGO ATAKUWA MLOKOLE BINGWA, HALAFU AKISHAVUNA ANACHOKITAKA ,MDADA LAZIMA AI CHECK PICHA.:wacko:
 
Kwa hiyo team hii haina msaada; maana nasikia wanawachanja watoto wakiwa wadogo....

Hahahahahahahahahh...............itawasaidia sana team vibamia.......ila wanatakiwa pia wapewe na mafunzo ya foreplay

lasivyo wataishia kuwachubua tu wadada wa watu lol!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Siku hizi ugali wa dona umeshika chati, nitafeli mengi kwenye maisha lakini ukinikabidhi K naacha kazi nafanya kazi na simu zote lazima zikae flight mode. Hakuna mzaha mtoto wa kike akikupd heshima ya kuwa naked.

Kaz kweli kweli mh ni htr
 
ni ukweli mtupu hawa wakongo au mapapaa wa hapa arusha wanayafanya sana haya. na cha ajabu wanatembea na mabinti na wake za watu yaani full jam sijajua walichonacho hawa wakongo.

Hata kitandani nasikia wako fiti hawana mchezo
 
Mwenyewe sijawahi kusikia kaka zangu wakisifiwa kwa gwaride. Ni upole tu.
Ukiacha utapeli na mazagazaga yaendanano, west Africans wanapiga gwaride tena lililoenda jeshini.

ulivyoongea kama vile hilo gwaride unalijua from the heart...is it?
 
Wanachanjiwa kwny machine?.............mana nasikia machine zao zimejaa vzr....no vibamia kbs................

Yaani wanawake wa JF bana wote 'mnasikia sikia' seriously?

kama story ilikupa interest hukufanya research?

cc Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Hahaaa eti sheriii usiniacheee.... MchunguZI (phd) pengine huna digrii
 
Last edited by a moderator:
Chunguza kwa makini sana utagunduwa wenye pesa wengi ndio wanaotembewa ni kama division of labour.

Mtu saa zote yuko bize na biashara na kazi mpaka kitandani mmelala misimu yake ni delivery note, bill of loading, Letter of credit, invoince and likes hivi huyu atakunyonya K kweli?
hahahahah!! daaaaaah! jamani kumbe ndivyo mnavyotusema vibaya kiasi hichooo duuuuh!!,,,,sasa tusipojishughulisha utasikia mwanaume gani suruali tu wewe,,,,hebu tuambieni mnataka nini hasa,,,msagano zaidi au pesa zaidi
 
Hebu wacha kujishauwa hapa sijazungumzia wachuuzi busy for nothing, unamiliki fremu ya kuuza chaja na housing na wewe unajihisi ni tycoon?
 
Yaani wanawake wa JF bana wote 'mnasikia sikia' seriously?

kama story ilikupa interest hukufanya research?

cc Nyani Ngabu

Wala siyo wanawake wa JF tu,.

Kibongo bongo mambo ndo yalivyo...'kusikia sikia' kwingi sana

Watu ambao hujishughulisha na kuutafuta ukweli ni wachache sana.

We huoni tu hata humu jinsi 'kujuana' kulivyo kwingi licha ya hata hamjuani kweli.

Chukulia tu kwa mfano, wangapi humu 'wananijua' mimi?

Mara wengine hudai mimi ni mzee wa miaka sitini na kitu...mara wengine hudai mimi sijui punga...

Yaani ni upuuzi puuzi tu ndo tunaouweza.
 
Back
Top Bottom