Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,913
- 70,690
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wewe unachungulia watu si bure.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wewe unachungulia watu si bure.
Samahani mkuu
AbeeeKapeace kapeace ...... [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji382]
Nilipita nikakuona [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji8]Abeee
yaani ukitinga kyupi ya umpendaye unajisikia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yeees hiyo mwishoni ndo huwa lengo letu[emoji12] [emoji12] [emoji12]yaani ukitinga kyupi ya umpendaye unajisikia
kama vile upo naye kila sehemu unakoenda.
Lakini pia ni ulinzi,siku ukijichanganya ukataka
kuopoa mwingine utaulizwa hiyo kitu umepata wapi?
Hii tabia ndio anayo wifi yako, inaniboa sana yani na nishazinguana nae sana....Najiulizaga mtu kusema haiwezekani au hapana nina mtu wangu tayari na asiendelee kujibu texts hawezi??? Mi huwa nayachapaga block tu hayo mashenzi kimyakimya maana unakuta jitu linaendelea kukomaa tu kwa vile bebi ana mu entertain na mazoea ya kuja kugongewa huanzaga hivi hivi!Kweli wanawake sometimes mna kua kwenye suspense! Shida nyingine inakuja wakati unatafuta namna ya ku turn down mtongozo in a gentle way halafu mwenza wako akagundua mawasiliano yenu through maongezi ya simu au texts sijui kama atakuelewa!
Wewe hutaki kumuumiza mtongozaji na kwa kutafuta namna nzuri ya kumpiga chini unarefusha mawasiliano ya aina hiyo for days, mwenzi wako atakapogundua atadhani upo kwenye process ya kuanza kuchepuka. Bahati mbaya sana dalili za mwanamke mwenye kutaka kuchepuka na yule mwenye nia ya ku turn down mtongozo in a gentle way ni hizohizo za kuvuta maneno
Hii inaashiria nini, chumba kipo eehhahahaa waachie wanaoyaweza ! wewe kaa kando tu! imagine unamuaga mtu unaenda kusuka ghfala unaona salio anakuambia ongezea ya kusuka !kitu kinasoma 620000/ mfyuuu nahuku mhusika wako ht 100 hajakuongezea !fyuuuuuuuuuuuuuuuuu
Kumbee eeh, hii ni fursaaYaani ukiufikiria mtongozo wa Fulani mchana unapitiwa na usingizi kaniambia Nina hips nzuri au macho mazuri hiyo siku ni kujiangalia kwny kioo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomb kanamba kake pleaseKutongozwa raha hasa ukizingatia tunavyopenda kudekezwa na kubembelezwa na mnavyojuaga kuact unyenyekevu kwny utongozaji baasi ndo raha yetu ukilegea jamaa anakula, na sio makosa kutongoza huwezi kunitongoza nikakutukana matusi nakwambia tu siwezi kuwa na wewe kwasababu Hii fullstop lkn sio ile mpk mtu mnatoa uadui kisa umeombwa papuchi, kuna rafiki yangu wa nchi jirani yeye anafurahia mwanaume akimtongoza kwa kiswahili yani kwake ni raha isiyo mfano na wakati hajui kiswahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo unanikataa mm af unamkubalia fala,,ndio hapo mnapochoshaMwingine ukimkataa na laana anakupa kbisa, huwa naishia kucheka tu.
We mbona pesa imekukaa mdomoni hivyo, uko biasharani niniinategemea na aina ya mwanaume espy ! mie bora niambiwe nna manyodo !ukiwapa nafasi vivulana tegemea hayo ! raha sana kutongozwa na mu mzima !hakuna shoda kbs !sana sana ht ukimkataa hakawii kukupa pesa ya mafuta anakuambia nimekusumbua !pyeeeeee
Wengi wanakubaligi mazoea yakikolea. Unakuta mkeo kaliwa kwa style hiiSWALI LA MSINGI: Kutongozwa kunaweza kusababisha ukubali wakati hukuwahi kuwaza kufanya hivyo? yaani solely wewe haukuwa na mpango na mtu ila ile amekutongoza taratiiibu. UTAKUBALI?
Daaaahh!!Mwanamke yeyote ambaye umkimtongoza naye akaamua kukusikiliza na mkaendelea kuwasiliana usipo mvua chupi fahamu we mwanaume ni fala tu.
😀Da
Daaaahh!!
Na hawa ndio mnapiga nao za mchangani tukienda trip au sio?Hahahaaaa!! Kweli kabisa, kuna mwanaume anakushawishi tu umpe zawadi. Yaani wanacare sana na wanajua kusoma alama za nyakati. Na hakukeri hataa, its just fun to chat with them all the time.
Uzuri ni kuwa huez muona king'ang'anizi kama nafsi imemridhiaKero kero kero kero kweli kweli.