Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

The problem is, yeye sio rafiki yangu wa kawaida, ni mpenzi wangu. Sidhani kama na yeye akikuambia umchukulie tu kama rafiki yako wa kawaida utakubaliana na hilo!!!

If you need just a friend you can just have them, lakini huyo ni girl friend wako kuna tofauti hapo.

Isome tena hiyo statement yangu vizuri, its either hujanielewa, au umeamua kutonielewa kabisa espy
 
Isome tena hiyo statement yangu vizuri, its either hujanielewa, au umeamua kutonielewa kabisa espy
Nimekuelewa, na sio kwamba hadi ujisikie kunipa pesa, unapaswa unipe pesa, siwezi kukuchukulia tu kama rafiki wa kawaida as wewe sio rafiki yangu wa kawaida. Na nikikuchukulia hiyo ujue no more mapenzi hapo.

Mimi kumpa pesa ndio hapo labda mpaka nijisikie(of which itategemea na kujitoa kwake kwangu) ila yeye kutoa ni must.
 
Kutongozwa raha hasa ukizingatia tunavyopenda kudekezwa na kubembelezwa na mnavyojuaga kuact unyenyekevu kwny utongozaji baasi ndo raha yetu ukilegea jamaa anakula, na sio makosa kutongoza huwezi kunitongoza nikakutukana matusi nakwambia tu siwezi kuwa na wewe kwasababu Hii fullstop lkn sio ile mpk mtu mnatoa uadui kisa umeombwa papuchi, kuna rafiki yangu wa nchi jirani yeye anafurahia mwanaume akimtongoza kwa kiswahili yani kwake ni raha isiyo mfano na wakati hajui kiswahili

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji2][emoji2] watchaaa!!, namuomba huyo rafiki wa wewe dada angu [emoji2][emoji2]
 
The problem is, yeye sio rafiki yangu wa kawaida, ni mpenzi wangu. Sidhani kama na yeye akikuambia umchukulie tu kama rafiki yako wa kawaida utakubaliana na hilo!!!

If you need just a friend you can just have them, lakini huyo ni girl friend wako kuna tofauti hapo.
umenena vyema, huyu mkuu hataki kutuma mpesa ama tigo pesa huyu

kikikikkkkkk
 
Aache ubahiri huko, unakuwaje bahiri kwa mwanamke wako!!
walio mabahili ni kuwa hakuna upendo hapo, huwezi niambia unampenda mwanamke wako unakaa nae tu bila visapraise

loooh
 
Back
Top Bottom