Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

wanaume hatunaga kejeli kwenye kuachana, labda uanzishe wewe. by the way tushaambiwa tushindane nanyi.., nani huyo anakuletea hizo mama mzaa chema
Mkuu wapo wengi mbona,mm nshawahi kukutana na mmoja baada ya kumkatalia mamaaaa nlijuta hakuna tusi sikulipokea akawa akiyatuma nayarudisha kwake kama yalivyo hadi alichoka mwenyewe
 
Hahahaaaa sema wewe hauna kashfa, kuna mijitu ina kashfa acha kabisa.

Mkwe wangu wa kujitegemea nishazeeka mie siku hizi hamna hayo mambo tena.
 
Yaani wananichoshaga, ukiwakataa taabu na ukiwakubali pia taabu.
Kuna mmoja wakati wa mtongozo akanisifia nina sauti tamu nilivyomkataa akaanza ooh lisauti lenyewe kama mmasai, aisee nilicheka hiyo siku.
Espy nimejikuta nacheka kwa sauti [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaaaa
 
Mkuu wapo wengi mbona,mm nshawahi kukutana na mmoja baada ya kumkatalia mamaaaa nlijuta hakuna tusi sikulipokea akawa akiyatuma nayarudisha kwake kama yalivyo hadi alichoka mwenyewe
Kuna wanaume wana kashfa acha kabisa, ni kama vile anakulazimisha umkubali na hautakiwi kumkataa.
 
Ndo cha kushangaza ss,sijui wapi paliandikwa akikutongoza Ww mkubalie tu
 
Espy nimejikuta nacheka kwa sauti [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani hiyo siku nilicheka acha kabisa, kila nikikumbuka nacheka.
 
Ungeandika kwa diary maana kichekesho cha karne
 
mhh hapana !sijawah ! sijui nisemeje! mie huwa naktaa kimahesabu unaweza ukawa unanichangamkia weeee mie najibu kifupi tu utakata mwenyewe mawasiliano na mm !
Sasa wengine hapo pa kujibu kifupi au kutokujibu ndipo kashfa zinapoanzia.
 
wenzetu wameumbwa kusifiwa,

kama humsifii mwenzako unamuumiza

msifie kila siku

utakula papuchi hadi kiuno kiteguke

n0 r0se with0ut th0rn
 
Sasa wengine hapo pa kujibu kifupi au kutokujibu ndipo kashfa zinapoanzia.

inategemea na aina ya mwanaume espy ! mie bora niambiwe nna manyodo !ukiwapa nafasi vivulana tegemea hayo ! raha sana kutongozwa na mu mzima !hakuna shoda kbs !sana sana ht ukimkataa hakawii kukupa pesa ya mafuta anakuambia nimekusumbua !pyeeeeee
 
Hahahaaaa sema wewe hauna kashfa, kuna mijitu ina kashfa acha kabisa.

Mkwe wangu wa kujitegemea nishazeeka mie siku hizi hamna hayo mambo tena.
hahaha mnafikaje kwenye kashfa? lazima tu itakuwa mnajibu vibaya hadi mtu anakuwa irritated.
 
Back
Top Bottom