Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

Nimekuelewa, na sio kwamba hadi ujisikie kunipa pesa, unapaswa unipe pesa, siwezi kukuchukulia tu kama rafiki wa kawaida as wewe sio rafiki yangu wa kawaida. Na nikikuchukulia hiyo ujue no more mapenzi hapo.

Mimi kumpa pesa ndio hapo labda mpaka nijisikie(of which itategemea na kujitoa kwake kwangu) ila yeye kutoa ni must.

I meant mchukulie boyfriend wako kama rafiki yako wa kike linapokuja swala la pesa, otherwise niki-explain zaidi ya hapa naona ntajipa kazi espy
 
I meant mchukulie boyfriend wako kama rafiki yako wa kike linapokuja swala la pesa, otherwise niki-explain zaidi ya hapa naona ntajipa kazi espy
Why linapokuja suala la pesa? how nikikuchukulia kama rafiki yangu wa kike kwa muda wote wa mahusiano yetu?

Acha ubahiri bwana, we toa hizo pesa.
 
Kutongozwa raha hasa ukizingatia tunavyopenda kudekezwa na kubembelezwa na mnavyojuaga kuact unyenyekevu kwny utongozaji baasi ndo raha yetu ukilegea jamaa anakula, na sio makosa kutongoza huwezi kunitongoza nikakutukana matusi nakwambia tu siwezi kuwa na wewe kwasababu Hii fullstop lkn sio ile mpk mtu mnatoa uadui kisa umeombwa papuchi, kuna rafiki yangu wa nchi jirani yeye anafurahia mwanaume akimtongoza kwa kiswahili yani kwake ni raha isiyo mfano na wakati hajui kiswahili

Sent using Jamii Forums mobile app

Tunatongoza kwa mbinde kdgo ila tukishagonga mara1 tunaweka miguu juu na mluzi maana huwa mnaileta tu geto hamna namna maana si ishaliwa..[emoji23]hapo ndio nawapendaga tu
 
Kumuhonga mwanaume lbd yesu ashuke, labda kumsaidia tu na kumnunulia zawadi lkn eti naomba niongezee hela kidogo niende bichi ahahahahaha warereeeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app

Asalalaah...tema mate dada..hakuna mjanja wa mapenzi wala mjinga wa mapenzi ohooo hujakutana na watu wewe..kunawatu walisemq hawezi kurusha ngumi kisa demu ila wakapiga mtu bastola na kuna waliosema mwanaume akizingua anajikataa ila yakipomkuta akanywa kasumu ka panya na hamna alie amini..nikama vile unaposhangaa ndoa zinakufaje wkt hujaingia humo..ila yakiukuta utasema huolewi ng'oooo
 
Sawa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hii mbinu moja kabambe sanaaa, haswa kwa waume za watu walokosa haya. Unampiga kizinga kimoja kitakatifu, akirudi tena huyo nunda.

Hii mbinu kiboko kama huna hela ila kama unazo unatambaa tu..Hv umpige kizinga mtu kuwa unataka prado halafu kesho unaletewa Lexus unaambiwa tumia hyo kwanza ile yakwako inakuja kutoka japan..utachomoka wapi....
 
Haya
 
Mwanamke yeyote ambaye umkimtongoza naye akaamua kukusikiliza na mkaendelea kuwasiliana usipo mvua chupi fahamu we mwanaume ni fala tu.
 
Mwanamke yeyote ambaye umkimtongoza naye akaamua kukusikiliza na mkaendelea kuwasiliana usipo mvua chupi fahamu we mwanaume ni fala tu.
Mkuu inategemea aina ya mwanamke na status yake na wewe na pia aina ya nyimbo zako, umewasikia wanawake wenyewe humu wengine pamoja na nyimbo zooote utakazowapa lazima akupige mzinga wa nguvu, ukirudi mara ya pili kweli we sugu
 
Mkuu akishakupa attention ya kukusikiliza na mawasiliano huyo ni wa kuliwa tu. Trust me, labda mwanaume uwe fala tu.
Siku zote ukizifuma mfano texts za mpenzi/mchumba/mke anatongozana na mtu naye anarespond hata kama hajakubali bado kuna 99% ya kuliwa.
 
Back
Top Bottom