Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

TIGOPESA
Salio lako jipya ni shilingi 120000.01, umepokesa kutoka kwa kikokoti

Sent using Jamii Forums mobile app


hahahaa waachie wanaoyaweza ! wewe kaa kando tu! imagine unamuaga mtu unaenda kusuka ghfala unaona salio anakuambia ongezea ya kusuka !kitu kinasoma 620000/ mfyuuu nahuku mhusika wako ht 100 hajakuongezea !fyuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
inakera pale anayekutongoza ni jank! andika yake(xaxa) unataka upasuke uingie ardhini !sidhan km kutongozwa ni raha !

sema jaman kuna wanaume wanajua kucare kha!ukiugua yupo na ww full time !hakawii kukuchungulisha mpesa ,,tigopesa mweee mwee !hao jaman serikali iwatengee fungu lao
Itakuwa umezoea kutongozwa kwa text na vi Serengeti boys
 
Ni karaha kwa anayejijua anavutia, lakini raha iliyoje kwa wale wasio na mvuto, huwaga tunafumba machho muda mwengne
 
Kutongozwa raha hasa ukizingatia tunavyopenda kudekezwa na kubembelezwa na mnavyojuaga kuact unyenyekevu kwny utongozaji baasi ndo raha yetu ukilegea jamaa anakula, na sio makosa kutongoza huwezi kunitongoza nikakutukana matusi nakwambia tu siwezi kuwa na wewe kwasababu Hii fullstop lkn sio ile mpk mtu mnatoa uadui kisa umeombwa papuchi, kuna rafiki yangu wa nchi jirani yeye anafurahia mwanaume akimtongoza kwa kiswahili yani kwake ni raha isiyo mfano na wakati hajui kiswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia pm tayari kuna mtongozo nimetupia pande hizo.
Kama jibu safi jibu hapa hapa.
Ila kama hali mbaya nipe vyangu huko huko pm.
 
TIGOPESA
Salio lako jipya ni shilingi 120000.01, umepokesa kutoka kwa kikokoti

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanajali bhana! Kuna midume unajua mwanamke anatakiwa afanyiwe nn, asikwambie mtu ss wanawake tunapenda mtu anaweza kujali sasa isitokee unatongozwa uko ndani na mume haeleweki ghairi km magu alafu anajifanya mfungua zipi nje! Huyo mume mpaka ajitambue ww unamuona km kaka sasa si mume tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaa waachie wanaoyaweza ! wewe kaa kando tu! imagine unamuaga mtu unaenda kusuka ghfala unaona salio anakuambia ongezea ya kusuka !kitu kinasoma 620000/ mfyuuu nahuku mhusika wako ht 100 hajakuongezea !fyuuuuuuuuuuuuuuuuu
Kuhonga nacho kipaji, ila kipaji hicho [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom