Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

Yaan kuna wanaume unamwambia Mimi ctack Nina mchumba lakini yeye kakomaa hadi anaboa ciwapendi wanaume wa ivoo wa kuambiwa ukweli lakin wanang'ang'ania tyu etiii ooooh hamna shixa Kwan anatembea nawewe kila wakati?
Block huyo raia..kwani kuna dhambi?
 
Akili yako inafanana na yangu, mie mapenzi ya i love you i love you asubuhi hadi jioni, j3 hadi j2 kwakweli huwa yananichosha wiki tu.
Lazima yanogeshwe na vitigo pesa, mpesa, airtel money,sim banking alerts nk. Sasa maneno tuuuuuuuu kama tupo kanisani.
Hata kanisani angalau kuna sadaka.
Hayo sio mapenzi sasa, inakuwa ni bishara ya mapenzi ambayo inainvolve ku exchange comfort kwa message za tigo, m.pesa! Kama ndo style yako ya mapenzi ipo shughuli mumeo akiyumba!
 
Kuna afisa mmoja wa idara ya maji nilikuwa napiga nae story hivi juzi kati hapa....

Katika maongezi yetu akaniambia vijana wa Leo tuna changamoto kubwa sana kwenye kupata wenza walio sahihi..

Ila alichonisisitiza ni kwamba the best moment to find a wife is when you have nothing, ukisema utafute mke tayari ukiwa una mapene unajiweka kwenye hatari ya kukutana na aina ya mwanamke kama huyo espy bila ya wewe kujua.
 
Ni hatari sana mkuu, kwa kweli shughuli ipo..me nmestick na gf wangu tokea tuko dead broke na sasa mungu anasaidia. I think she is the best woman for me na sintomuacha, amenisaidia vingi na kunifunza mengi thru thick and thin.

Sio siri ukishakuwa na maisha mazuri na kumiliki uchumi wako vyema kwa hali ilivyo sasa ni rahisi kuangukia kwa hawa wanawake wapenda hela ambao naweza sema the worst kinds of beings.They will fool & drag you into thinking that wanakupenda sana uwaoe kumbe wanapenda mafanikio yako kimaisha.Siku hela ikikata ghafla ndio utaona rangi zao halisi. Majuto ni ukishaoa hio takataka itakayokutesa whole life.
 
Safi sana mkuu,, may Allah keeps showering his blessings upon you guys as you walk a tightropes between the world of fidelity and greediness.

Huyo ndio ubavu wako mkuu, usimwache! Zama hizi wanawake wengi wanataka kuolewa na status na sio wanaume!!

Na ukimbahatisha aliye tayari kuolewa na wewe wala sio status yako basi huyo ni mke boraa kabisa hautokaa ujutie kuwa nae.
 
Duh!! inaonekana kama huna pesa,
tafuta mfuko fungia naniliu yako
mpaka utakapopata pesa anza kitu inaitwa tongoza.

Heri yao domozege maana wataepuka ukata
usio wa lazima.
 
Inshaallah mkuu, changamoto zipogi ila mkishibana ni rahisi zaidi kusawazisha.
 
Duh!! inaonekana kama huna pesa,
tafuta mfuko fungia naniliu yako
mpaka utakapopata pesa anza kitu inaitwa tongoza.

Heri yao domozege maana wataepuka ukata
usio wa lazima.
Hahahahahahah hawa wanawake wa mwendokasi hawataki kutoa mapenzi bila kukutoboa mfuko kwanza. Ila uzuri wanaelewa hayo mapenzi ni kama tempo tu hamna mkataba
 
Yap ndo vile kwa ambae hajakomaa ukiongeza spidi unamla ila makumbembe km sie ni ngumu kidogo
Aah sidhani, kwani we hutaki elaaa wangu? Hebu ona..

IXQ1LS23 Imethibitishwa umepokea 450,000 toka kwa EXTROVERT JR. Fumbo la siri CTUY. Tembelea wakala wa M-PESA ndani ya siku 7.
 
Kwangu .mimi pesa si kilainishi cha kumkubali mwanaume na Sina desturi ya Kupiga vizinga ila akinitumia km zawadi napokea lkn kwangu pesa si kipaumbele ktk mahusiano
 
Mmh kumbee, kwahio ela haikuzuzuagi kabisa
 
inakera pale anayekutongoza ni jank! andika yake(xaxa) unataka upasuke uingie ardhini !sidhan km kutongozwa ni raha !

sema jaman kuna wanaume wanajua kucare kha!ukiugua yupo na ww full time !hakawii kukuchungulisha mpesa ,,tigopesa mweee mwee !hao jaman serikali iwatengee fungu lao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Mbiti katika ubora wako ahahahaaaaaa eti serikali iwatengee fungu lao khaah.
 
Back
Top Bottom