Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

Kutongozwa kuna effect kwa mwanamke.
Yani inatufanya tujione kuwa tuna mvuto,kwamba tunasumbua kichwa cha mtu.
Yani ikitokea hujatongozwa mwaka mzima,inaweza kuaffect self esteem kabisa.
Mwanamke yeyote hata mbibi anafurahi kutongozwa.

Na mkitongozwa sana mnakuwa na ego/nyodo mpaka mnaona almost kila mwanaume ni m.avi kuna mademu wengine wakiongeaga na mm, naona kabisa huyu MTU anaongea na mm coz wanaume hawampi attention cherie neisha
 
acha tu kuna miezi kama 4 iliyopita nilipiga bingo mahali kuja kucheki uzito nimeongezeka 5kg,
nikajisemea jje's my love, watch out unakoelekea siko, so nina kazi ya kupunguza uzito
hahahahah pesa jamani pesa

Loh ama kwel wanawake hatuna cku hizi, mmekuwa na roho mbaya, mnachoangalia kwa mwanaume ni pesa tu jje's
 
Mnaandika kwa confidence kabisa..ili mdanganye wanaume humu ndani half muwalie hela zao vizuri espy
Hapana, hatuwadanganyi bali huo ndio ukweli. Tafuteni sana pesa jamani ili za kutupatia ziwepo.
 
Loh ama kwel wanawake hatuna cku hizi, mmekuwa na roho mbaya, mnachoangalia kwa mwanaume ni pesa tu jje's
hakika sio kweli ila kapesa kananogesha bhana mapenzi, loooh nisamehe tu ila napenda
natafuta pia ujue na sitegemei mwanaume mm ila nikipewa nafurahi siku nzima

teh teh
 
Hivi unanipenda toka moyoni alafu haunihudumii!! Upendo gani huo sasa!!
Muwe mnajiongeza jamani.

Wewe sio mke you're just a girlfriend kwani kuhudumiwa lazma? Wazazi na ndugu zako si unao, mbona most of us men hatuwaombagi ninyi hela? Half pesa shouldn't be an issue in a relationship ya boyfriend/girlfriend, MTU akijiskia atoe pesa, asipojiskia bhas it's okay...i mean um-treat ur boyfriend/girlfriend kama rafiki yako coz in friendship u don't expect ur friend kukupa pesa au favors, it just happens... i hope umenielewa espy
 
Kama unataka rafiki tu basi kuna wanaume wenzio bwana.
Alafu kama wazazi si hata wewe unao? Haukuwaona hadi ukaja kwangu?

Ukishataka tuwe wapenzi i am yo responsibility. Na mwanume unaanzaje kumuomba pesa mwanamke!! Lazima medula yako itakuwa imepatwa na mtikisiko.

Ukiwa mwanaume ujue na majukumu yako, sio kuanza kujitete oooh si una wazazi, na wewe si una wazazi!!
 
uzuri umemuuliza espy maana hata sijaelewa kabisaaaa
boyfriend na rafiki wa kawaida wapi na wapi?
 
Na mkitongozwa sana mnakuwa na ego/nyodo mpaka mnaona almost kila mwanaume ni m.avi kuna mademu wengine wakiongeaga na mm, naona kabisa huyu MTU anaongea na mm coz wanaume hawampi attention cherie neisha
Sikatai.It applies both ways.
Hata kuna wanaume wanaweza kumfata msichana tu as an alternative kisa hawezi Ku afford anayemtaka.Akishajiona Ana uwezo atamuacha.
Si kila anayetongoza Ana nia nzuri.
Ndio maana kila mtu anajihami kivyake.
 
uzuri umemuuliza espy maana hata sijaelewa kabisaaaa
boyfriend na rafiki wa kawaida wapi na wapi?

I mean umchukulie boyfriend wako kama rafiki wa kawaida linapokuja swala LA pesa, for eg, you don't except ur best female friends to give u money, it just happens naturally. Boyfriend wako akijiskia kukupa hela/zawadi atakupa, asipojisikia bhasi, na wewe pia ukijiskia kumpa boyfriend wako hela/zawadi MPE, usipojisikia ndo bhasi. That's what I meant. jje's
 
ndo nimekuelewa ila bhana hebu muwe mnajisikia
hii inasaidia kabisa hata kulainisha viungo vingine automatically
 
Na uwe na jioni njema yenye tafakuri pana ya utafutaji wa pesq, na ukabarikiwe ktk utafutaji wako. Ujazwe hadi ushangae(ila tu kama utakuwa unampa binti yangu, lasivyo usipate daima)
daah mama mbn umenichanganyia baraka na laana? ila nimejua hata maneno unatumia
 
Kama unataka rafiki tu basi kuna wanaume wenzio bwana.
Alafu kama wazazi si hata wewe unao? Haukuwaona hadi ukaja kwangu?

Ukishataka tuwe wapenzi i am yo responsibility. Na mwanume unaanzaje kumuomba pesa mwanamke!! Lazima medula yako itakuwa imepatwa na mtikisiko.

Ukiwa mwanaume ujue na majukumu yako, sio kuanza kujitete oooh si una wazazi, na wewe si una wazazi!!
[emoji122] [emoji122] [emoji122] pata maji baridi tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I mean umchukulie boyfriend wako kama rafiki wa kawaida linapokuja swala LA pesa, for eg, you don't except ur best female friends to give u money, it just happens naturally. Boyfriend wako akijiskia kukupa hela/zawadi atakupa, asipojisikia bhasi, na wewe pia ukijiskia kumpa boyfriend wako hela/zawadi MPE, usipojisikia ndo bhasi. That's what I meant. jje's
The problem is, yeye sio rafiki yangu wa kawaida, ni mpenzi wangu. Sidhani kama na yeye akikuambia umchukulie tu kama rafiki yako wa kawaida utakubaliana na hilo!!!

If you need just a friend you can just have them, lakini huyo ni girl friend wako kuna tofauti hapo.
 
Back
Top Bottom