Wanawake hatupendi wanaume ambao hawana hela!

Wanawake hatupendi wanaume ambao hawana hela!

Helaa utapewa sana maana zpoo tuu binti ila hzo laini mbili zitachakazwa sanaaa alooo
FB_IMG_1781950308436.jpg
 
Wanawake washajimilikisha kuwa wao wanatakiwa wapewe kila kitu na wanaume.

Wanakosea.
Mwanamke anatakiwa apewe kila kitu na mwanaume wake.
Na Kama sio Mwanaume wako. Balance shobo. Na pambana na hali yako.

Binafsi sioni shida kuhudumia Mwanamke wangu na watoto. Ni jukumu langu.

Lakini eti kisa ww mwanamke na tumekutana tu uanze, we Kaka naomba ninunulie hiki au hiki. Mm Sinunui. Wacha unione bahili. 😊😊😊
kwanza ndio itanisaidia haswaa.
Hahaha, wasikupangie siyo?
 
Ongezea kwa mwanamke anayependa hela atakuwa Kama mfuko wa takataka. Kila mwanaume atashusha mzigo wake hapo..

Unaweza ukahisi unamkomoa mwanaume, kumbe unajikomoa. Hela ziko zinatafutwa.
Na uzuri wa hela kwa mwanaume n km maji ya bahari tu yanavyo kupwa na kujaaa..acha waje nasi tunawapokea hvyo hvyo wangu wangu mpk wang'ate menoo.
 
liko pana hili suala.
Ni sawa na Mwanaume kusema tuwapendee nini wanawake.

Unafikiri ni Jagina ndio inafanya tuwapende?.
Jagina ambayo za kununua zimejaa?.
Au unafikiri ni nyege?.
Wakati Mbaga Jr anasolution zake.

kwahiyo sababu nje ya hizi ndio zinatakiwa pia Mwanamke ampende Mpenz wake.
Huwezi kumpenda kila mtu, kwahiyo mkijileta kwenye mtego mwendo ni uleule tu pesa! Hutaki pita kushoto!

Mbaga ana solution wakati huyu huku!😁
EB375FA2-478F-45AC-9B20-1C88F7035EB0.jpeg
 
Mdogo wako nilimpa ka mtihani kidogo akaangukia pua.
Nilimwambia nampa blank cheque ajaze thamani yake, akasema hataki blank cheque, anataka bank cheque.
Atakuwa alivurugwa na neno blank mzee! Hajui hapo ana fill any amount? Ungetupa sisi wajelajela tukufilisi😎
 
Unatafuta hela kwa kuuza hiyo K yako fake!

JF VAR CHECK

 
Back
Top Bottom