Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 30,174
- 87,303
Kwani kil anayetoa hiyo pesa lazima apewe mzigo? Nyie mko wapi kwani😂Ongezea kwa mwanamke anayependa hela atakuwa Kama mfuko wa takataka. Kila mwanaume atashusha mzigo wake hapo..
Unaweza ukahisi unamkomoa mwanaume, kumbe unajikomoa. Hela ziko zinatafutwa.