Wanawake hatupendi wanaume ambao hawana hela!

Wanawake hatupendi wanaume ambao hawana hela!

ss tunapenda hela hatupend tunajifanya tunakupenda ila kiundani hatuna mapenz nawe kabisa.tunapenda hela ss
Wanaume pia hatupendi Wanawake wenye mindset za Kimaskini,

Utajuaje Wanawake wa aina hii,
Unaangalia Maisha anayo ishi na anayo tamani kuyaishi

Siraha ya kutokuishi Maisha magumu ni kufanya Kazi.
 
ss tunapenda hela hatupend tunajifanya tunakupenda ila kiundani hatuna mapenz nawe kabisa.tunapenda hela ss
Na Kuna program Mungu akitusaidia tutaziandaa strategically,

Tutahakikisha at least 70% ya Wanaume tunabadilisha mitazamo

Nakuhakikishia poor minded women will suffer,
Hakutakuwa na huruma Wala ndoa Kwa mwanamke mpumbavu.

Abundant mindset to men's
Muelekeo Kwa Wanaume Utakuwa ni kuongeza Value zao Tu.
 
Back
Top Bottom