Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,963
- 86,909
Humu wote wanasema wana hela na hawapendi wanawake maomba omba mkuuKabla sijajibu naomba kwanza kujua mwanaume asiye na hela ndio yupi? Ili uhesabike una hela zinatakiwa zianzie ngapi
Humu wote wanasema wana hela na hawapendi wanawake maomba omba mkuuKabla sijajibu naomba kwanza kujua mwanaume asiye na hela ndio yupi? Ili uhesabike una hela zinatakiwa zianzie ngapi
Hilo la umalaya unalijua wewe ila huo ndio ukweli, ukipendewa hela siku zikiisha huna chakoSidhan .
Sasa mtu wako unampendeaje hela?.
hapo unakuwa unapenda hela na sio mtu. Kwahiyo utatamani kila aliye na hela uwe nae. Na ndio umalaya huo.
Mpende mwanaume wako.
chaguo lako. Akiwa na hela au asipokuwa nazo inshallah.
Zote kudra.
Ila kupenda hela. Kesho akitokea mwenye hela zaidi utampenda.
Ni umalaya.
Wacha kumchania mwenzio mkeka🙄Kwa msiojua hili ni jikedume limekua Ke ghafla bin vuu lilikua Me majuzi kati tu hapa, inasikitisha.
Hivi vibinti vyenu vya 2000 havina adabu,
Mmh😀Wacha kumchania mwenzio mkeka🙄
😂😂Unaweza kutusomea PH level kwenye K yako inasomaje kwa sasa 🤔
Kumbe ujumbe umekuja sehemu ambayo hakuna walengwa 🤣Humu wote wanasema wana hela na hawapendi wanawake maomba omba mkuuView attachment 3660807
Mnaziandaa wewe na nani? Na mkiwa wapi?Na Kuna program Mungu akitusaidia tutaziandaa strategically,
Tutahakikisha at least 70% ya Wanaume tunabadilisha mitazamo
Nakuhakikishia poor minded women will suffer,
Hakutakuwa na huruma Wala ndoa Kwa mwanamke mpumbavu.
Abundant mindset to men's
Muelekeo Kwa Wanaume Utakuwa ni kuongeza Value zao Tu.
hahahahaha,unanjijaribu au unapima?naomba hela😊
Kuna kamstar kembamba hapo wanawake hamjui.Hilo la umalaya unalijua wewe ila huo ndio ukweli, ukipendewa hela siku zikiisha huna chako
nakuomba😄hahahahaha,unanjijaribu au unapima?
hahahahahanakuomba😄
Ndio vimke vyenu hivyo vumilieniHivi vibinti vyenu vya 2000 havina adabu,
hii ni dalili umetoka katika familia ambayo baba hana pesa maana angekuwa nazo angekuwekea msingi wa wewe kuwa nazo ili usitamani za mtu mwingine.....lkn una uhakika kila mwanamke ana akili kama zako?Sisi tunapenda hela hatupend tunajifanya tunakupenda ila kiundani hatuna mapenz nawe kabisa.tunapenda hela sasa
Nani amekuambia hatujui 😁Kuna kamstar kembamba hapo wanawake hamjui.
Wanaume hatujakataa kuwapa hela.
Ila msipende mwanaume kwasababu ya hela.
Binti yako mida yake hii😅Mmh😀
Maomba omba hii week yetu🤣Kumbe ujumbe umekuja sehemu ambayo hakuna walengwa 🤣
Kwangu hivi vya 2000 ninakaribia kuwa vijukuu.Ndio vimke vyenu hivyo vumilieni
Tuwapende kwa sababu ya nini?Kuna kamstar kembamba hapo wanawake hamjui.
Wanaume hatujakataa kuwapa hela.
Ila msipende mwanaume kwasababu ya hela.