Usiombe tena, nipe athali nikufanye malikiaMaomba omba hii week yetu🤣
Kumbe we mzee mwenzetuKwangu hivi vya 2000 ninakaribia kuwa vijukuu.
ndo unicheke jamni😔 wakati mi nimeomba helahahahahaha
Hafu wewe🤔Kwangu hivi vya 2000 ninakaribia kuwa vijukuu.
UtuTuwapende kwa sababu ya nini?
Sasa kama utatamani jiran mwemye hela. Na ww umeolewa. Siku jiran akikutongoza si utampa.Nani amekuambia hatujui 😁
TumefikiwaMaomba omba hii week yetu🤣
Kwani jana si nilikuwacha na mdogo wangu mna bargain hukupewa??Usiombe tena, nipe athali nikufanye malikia
Kwa nini usiniamini , mimi babu yako kabisa eti😔Hafu wewe🤔
Siwezi kukuamini bana..
Ili nini?
Lakini hata nyie si mnaenda kuangalia malisho nje ndani yakipunguaSasa kama utatamani jiran mwemye hela. Na ww umeolewa. Siku jiran akikutongoza si utampa.
Na ndio Mke Malaya huyu.
Komaa na Mume wako, mkae mshauriane mnafanya nini hela ziwepo na zisipungue na maisha yaende.
Sio kutamani hela za Mwanaume mwengine.
Hahhaa siwezi kukuamini wewe bn!Kwa nini usiniamini , mimi babu yako kabisa eti😔
Kabisa, kibabu kabisaKumbe we mzee mwenzetu
Kwann ajiite Binti? Haya me nataka mtoto sasa anaweza kunipa mtoto huyu pampula? AnazinguaWacha kumchania mwenzio mkeka🙄
Tuwapende kwa sababu ya nini?
Mdogo wako nilimpa ka mtihani kidogo akaangukia pua.Kwani jana si nilikuwacha na mdogo wangu mna bargain hukupewa??
hapana sijakuchek nimefurahi tundo unicheke jamni😔 wakati mi nimeomba hela
Nami nikupende.Ili nini?