Wanawake hatupendi wanaume wasio na hela!

Wanawake hatupendi wanaume wasio na hela!

Yani mara hii ushakuwa mwanamke mpenda hela juzi tuu si ulikua mwanaume wewe...daah dunia inaenda kasi sana
 
Sisi tunapenda hela, hatupendi tunajifanya tunakupenda ila kiundani hatuna mapenzi nawe kabisa.

Tunapenda hela sasa
Dalili namba moja ya mwanamke malaya ni kuingia kwenye uhusiano kwa sababu ya pesa alizonazo mwanaume, ni umalaya 100% sawa na wale roadside prostitutes ambao kabla ya kusalimiana mna-bargain bei ya kuzini kwamba short-time ni Shilingi ngapi na overnight ni Shilingi ngapi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom