Wanawake funguenu PM, tunapata tabu!

Wanawake funguenu PM, tunapata tabu!

Zamani nilikuwa nafikiria kama wewe, nilikuwa nashangaa kwa nini mtu afunge? Ina maana hajui kusema hapana? Ila baadae nimekuja kuelewa, PM haiendi mitongozo tu
Kutokujielewa na kutokujitambua ndio maana wana-lock pm; kama jibu ni ndio ni ndio tu na kama ni hapana ni hapana tu
 
Zamani nilikuwa nafikiria kama wewe, nilikuwa nashangaa kwa nini mtu afunge? Ina maana hajui kusema hapana? Ila baadae nimekuja kuelewa, PM haiendi mitongozo tu
Vitu gani mkuu vilikuwa vinakuja huko?
 
Mimi sijawahi kufunga
Screenshot_20190522-225900.png
hata wewe
 
Nothing serious, we just have a folk who can't shoot properly and keeps whining!

And that's how we remembered a lethal sniper!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

His aim game trash, huh? Too bad for the man. And who that 'lethal sniper' bees?
 
Yan Dadake mimi na wewe ni kama vile mapacha tu..

Usijali nitakuwa nakuja ila naona pia upo busy pia.
Umeona ee



Mambo mengi kaka ila huwa nakuja kuja nikiwa free. Wewe ndiye huwa unapotea week nzima kabisa hahahahah
 
Back
Top Bottom