Wanawake funguenu PM, tunapata tabu!

Wanawake funguenu PM, tunapata tabu!

Kuna kipindi wadada wengi walifungua PM zao mweee JF ilifurika kwa Threads za kuwasimanga wenye PM wazi mara bei imeshuka oooh wamefulia,hawana jipya,namba zinasomeka,wanatafuta wateja.

PM zimefungwa here u a na gazeti lako la kizungu.
 
Hahah! Wanadamu hawaridhiki
 
Tunafunga pm kwa sababu Kuna watu wengine wamezidi mtu kila siku anakuja pm kukusalimia kama ibada vile... Asubuhi.. Mchana na jioni kila siku na hasemi anataka nini ili kama inawezekana apate haiwezekani apite kushoto.... Sasa usumbufu huo kwa kweli bora tufunge....... Wengine wanakuja na Ile miandiko ya x na y kwa kweli hii nayo ni sababu ya kufunga....

Asante
 
Naomba unifungulie mimi tu ili nieleze yaliyo moyoni mwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom