Wanawake funguenu PM, tunapata tabu!

Wanawake funguenu PM, tunapata tabu!

Hii inawezekana kwa wale wenye muda wa kutosha kuwapo hapa Jukwaani.

Kwa wale wasoma Comments kama mmi, ni ngumu kidogo.

Mkuu hujawahi kumwomba namba mwanamke ambaye umeonana naye on the spot?

Approach yako ndiyo inayokubeba, siyo swala la kumzoea. Otherwise hata hiyo PM itakuwa wazi na hautajabiwa.

Learn the language, learn the style, and be confident.
 
Back
Top Bottom