mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,401
- 23,193
Nifungulie basi mbona hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nifungulie basi mbona hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimefunga leo baada ya kuona kila mtu kafunga.
Bado natafuta .nikiona kitu kizuri nakipitia tubadilisha jina basi,kumbe umepatikana
Roho mbaya hiyo ujueNimekumbuka mtu anakusalimia daily pm kaaaah nilivyoifunga nikapumuaaaaa
Nikikuelewa nakufwata mwenyewe. 😂 😂Ignore. Usitukoseshe wote
Hapo sawa kaka ake....uko na akili nyingi sana ndiyo maana nakupendaga
Ila uwe unakuja kuja huku unaadimika sana ujue
Ndio haina madhara ,mie ni Mutu mwemaID moja tuu miaka yote hiyo?
Hahaha, fungua basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa nilikuwa naanza kwenda kusoma siredi zake nionee kama nifungue pm au lah
Hahahaha, munaniwekea kikao huko PM ?Hahaha, nifungulie basi nije tumjadili mtu chake.
Hahahaha, nitafurahi Sana
pambanaBado natafuta .nikiona kitu kizuri nakipitia tu
HahahahaHalafu, ukionana nao huwezi amini kwanini hufunga PM, wakati ilitakiwa iwe wazi ili kujitafutia bahati.
Hahahaha, munaniwekea kikao huko PM ?
Hahahaha, asee ulichungulia Fursa MkuuNilitaka kusafiria nyota yako naona nimeshtukiwa.
Hii ipo sana humu JF unakuta mdada ni wa kawaida ila anavyojiweka utaogopa, fanya kuomba appointment nae utachoka kabisa hizi ID's zinaficha mengi mkuu..Hahahaha
HahahahaHii ipo sana humu JF unakuta mdada ni wa kawaida ila anavyojiweka utaogopa, fanya kuomba appointment nae utachoka kabisa hizi ID's zinaficha mengi mkuu..
Wazuri wapo sikatai ila more than 90% ni wa kawaida mno mno...
Jamani umesahau kuwa ufunguo unao wewe?Nifungulie basi mbona hivyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] It's funny but not funnyHii ipo sana humu JF unakuta mdada ni wa kawaida ila anavyojiweka utaogopa, fanya kuomba appointment nae utachoka kabisa hizi ID's zinaficha mengi mkuu..
Wazuri wapo sikatai ila more than 90% ni wa kawaida mno mno...