Wanawake funguenu PM, tunapata tabu!

Wanawake funguenu PM, tunapata tabu!

Muda wa kufanya hayo yote ili at the end akuje mwenyewe PM. Ama hunting to be hunted game huitaji muda?

Kama huna muda usihangaike na PMs za watu JF.

Kuna mitandao na centres za "Pay and Pick", hizo ndizo exactly kwako.
 
Hivi JF mnatongozanaje na sura hamjuani,
Msije mkatongozana ndugu
 
Back
Top Bottom