Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,098
Msalimie kaka akoHii ipo sana humu JF unakuta mdada ni wa kawaida ila anavyojiweka utaogopa, fanya kuomba appointment nae utachoka kabisa hizi ID's zinaficha mengi mkuu..
Wazuri wapo sikatai ila more than 90% ni wa kawaida mno mno...