Wanawake funguenu PM, tunapata tabu!

Wanawake funguenu PM, tunapata tabu!

Hapa hapa jukwaani, kuna swaga lazima utumie kuomba unlock.

Kama vile unavyomwomba msogee pembeni umwambie jambo kama hapo mlipo kuna watu.

Hii inawezekana kwa wale wenye muda wa kutosha kuwapo hapa Jukwaani.

Kwa wale wasoma Comments ama kuperuzi kama mmi, ni ngumu kidogo.
 
Mimi sijafunga pm, huwa unapita pm yangu kama huioni yaani.
Screenshot_20190522-144253.png
 
Back
Top Bottom