Wanawake funguenu PM, tunapata tabu!

Wanawake funguenu PM, tunapata tabu!

Nyie si ndio mnasemaga wadada wa Jf scraper, mara wabaya eti sijui wamechoka leo mnalia na PM zao za nini? Wanaume hakuna siku nitakuja kuwaelewa
 
Nyie si ndio mnasemaga wadada wa Jf scraper, mara wabaya eti sijui wamechoka leo mnalia na PM zao za nini? Wanaume hakuna siku nitakuja kuwaelewa
Wanasemaga hao wanaume wa dar...sisi wa mikoani huwezi kutuskia hata siku moja...unlock ur pm plizz
 
Usipate tabu wakishakuwa single mazas huwa wanaachia tu wenyewe kwahyo ukilalama unawapa Kik tu
 
Back
Top Bottom