What does this mean? Should we get started visiting your Prime Minister?Noted





Kwani kuna utaratibu wa kualikana?What does this mean? Should we get started visiting your Prime Minister?
![]()
Wapi huko walipo wachachehivi wanaume walivyo wachache watu wanafungaje pm jamani.



.Wewe una wanaume wangapi bwana mkubwa ?Wapi huko walipo wachache.
Watu wanamiliki wanne wanne huku.
Hahahaha, na wewe PM umefunga ?Hahahahahaahaa
Hivi hata mtu ukiwa ni mbaya ndiyo ujirahisishe rahisishe? Ushindwe kujikubali mwenyewe na kuishi maisha unayoyataka?Hii ipo sana humu JF unakuta mdada ni wa kawaida ila anavyojiweka utaogopa, fanya kuomba appointment nae utachoka kabisa hizi ID's zinaficha mengi mkuu..
Wazuri wapo sikatai ila more than 90% ni wa kawaida mno mno...
MmojaWewe una wanaume wangapi bwana mkubwa ?
Hahahaha, na wewe PM umefunga ?
huo mwanya ni wako?Hahahaa, kiukweli sioni sababu ya kufunga pm.
huo mwanya ni wako?
ungesema wako tu uone watu watavyomiminika huko PM mbona ungefunga leo leoHapana mkuu, avator tu nimedownload....
madai ako eti hujuiKwan pm mnafataga nini?
ungesema wako tu uone watu watavyomiminika huko PM mbona ungefunga leo leo