Mgugu
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 2,165
- 4,404
Yaani kanichefua kwelikweli.Khaaaaaaa!
Yaani kanichefua kwelikweli.Khaaaaaaa!
Ulimwengu wako ni kama haupo kwa Dunia ya wanawake waTanzania, hapa JF.
Uhalisia unakuacha!!
Wengine wananipata, pm yako Ina tatizoWew ni moja yao!
Ngoja nikagonge K Vant keimamae....Yaani kanichefua kwelikweli.
Kwahiyo mimi umeniblock sio?Wengine wananipata, pm yako Ina tatizo
Fungua hahaha miezi imekaribiaDaah kwa hiyo hautaki nikufungulie tena?
Shauri yako .
Kwani umemuona RRONDO kwenye huu Uzi tena?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha, kwa hiyo unakaribia kumfungulia hazard cfc?
Ndio nasubiri chief....asije chana mkeka tu huyu mrembo
Habari yakoNimekumbuka mtu anakusalimia daily pm kaaaah nilivyoifunga nikapumuaaaaa
Kama umejua leo usi lock ukasumbua watu bureMie sikuwa najua kama kuna kulock pm, nimejua leoo hahaa
Aisee we jamaa acha ufala bhana.... agrrriyyyy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila usiende kuongea humu kama bibi.View attachment 1104670
We nae maneno mengi action sifuriKwahiyo mimi umeniblock sio?
Unanidhalilisha ujue...We nae maneno mengi action sifuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unanionea bure, sio mimi ni bibi huyo amefungua thread ya kusifia vyoo vya hospital ya mwananyamala.Aisee we jamaa acha ufala bhana.... agrrriyyyy
Habari yako
🏃🏃🏃🏃🏃🏃Unanidhalilisha ujue...
My babe !Umeulizwa?