- Thread starter
- #21
Mimi simo kwenye wazamiaji mkuu!, sasa mtu kama huyo unaanzaje kuzama huko😖!Si nyie mnasifia kuzama uvinza
Mimi simo kwenye wazamiaji mkuu!, sasa mtu kama huyo unaanzaje kuzama huko😖!Si nyie mnasifia kuzama uvinza
Si umeona video baada ya kufanya huo ushirikina kapata wateja kwenye hiyo supermarket yakeUna maana gani mkuu?
Sina uhakika kama ni yake ila nimekuelewa mkuu.Si umeona video baada ya kufanya huo ushirikina kapata wateja kwenye hiyo supermarket yake
Mkuu basi itakuwa anaumwa vitu vingi ukiachana na fungus. Najiuliza kama hizo fungus zake zinanukia kiasi ajinuse baada kujikuna 🤐!Huyo mgonjwa anaumwa fungus zinamiwasha
Acha tu mzee wa vidot vitatuNimeogopa sana baada ya kuona video, bado akili yangu inakataa kukubali kwamba ni upwiru tu!
What's up! 😎Anapiga puchu pumbavu
Anacheki harufu je mtu wa karibu yake anaweza kuisikia.Mkuu basi itakuwa anaumwa vitu vingi ukiachana na fungus. Najiuliza kama hizo fungus zake zinanukia kiasi ajinuse baada kujikuna 🤐!
Unaujua muwasho wa kuaibisha wewe?Anajikuna nini hapo, haya hata kama ni kujikuna hiyo ni style gani kujikuna hadharani tena!
Huu ujasiri sio wa kawaida kwakweli🙌Anacheki harufu je mtu wa karibu yake anaweza kuisikia.
Hapana, upoje huo mkuu😆!Unaujua muwasho wa kuaibisha wewe?
Yaani utake usitake utajikuna tu, hauvumilikiHapana, upoje huo mkuu😆!
Sasa ndo mpaka ushushe chupi kweli halafu ukimaliza ujinuse 😖!,Yaani utake usitake utajikuna tu, hauvumiliki
Hata kama umesimama na raisi mbele yako, muwasho ukija lazima ujikune.Yaani utake usitake utajikuna tu, hauvumiliki
Ana fungus huyoSasa ndo mpaka ushushe chupi kweli halafu ukimaliza ujinuse 😖!,
Ni noma😆Hata kama umesimama na raisi mbele yako, muwasho ukija lazima ujikune.
Sema kwa Ke, dah!
Kazi kwelikweli, sasa hapo ukute ni mamant'ilie hazingatii usafi watu wanaenda kupakuliwa chakula na mtu katoka kujikwangua huko🙌!Ana fungus huyo
Huo ni ugonjwa gani mkuu!Anaonekana mgonjwa huyo