- Thread starter
- #41
Ni kweli sina vithibitisho vinavyojitosheleza ila nina chanzo cha madai yangu, yasipuuzwe!NDUGU MLALAMIKAJI, TAARIFA ZAKO SI SAHIHI.
KWANI HUNA VITHIBITISHO VINAVYO JITOSHELEZA, KUHUSU MADAI YAKO.
Ni kweli sina vithibitisho vinavyojitosheleza ila nina chanzo cha madai yangu, yasipuuzwe!NDUGU MLALAMIKAJI, TAARIFA ZAKO SI SAHIHI.
KWANI HUNA VITHIBITISHO VINAVYO JITOSHELEZA, KUHUSU MADAI YAKO.
"unanyoa vizur vizuri tu, unaoga na kwenda zako.Yaani utake usitake utajikuna tu, hauvumiliki
Ni hatari kwakweli 🙌Ni ngumu kuwatenganisha wanawake na ushirikina....ni damu moja
Hizo ni Fangasi sio ushirikina.Salamu ndugu wanajukwaa, najua tuna mambo mengi muhimu ya kufanya, ila kuna jambo nimeona kwenye hii video hapa chini limeniacha bumbuwazi kuhusu wanawake
Wanawake, hata kama ni maelekezo ya waganga, kwani hamwezi kutumia akili au basi kuwa na aibu kidogo!, mnapata wapi ujasiri wa kufanya ushirikina kama huu mchana kweupe?
Ni hali gani inaweza kumfanya mtu kufikia hali hii?, ndugu wadau nashauri kuanzishwe kampeni maalumu kuhimiza wanawake kufanya check-up ya afya ya akili zao , ili kunusuru jamii yetu, binti kama huyu kuwa mshirikina ni hasara kwa taifa.
Mamlaka, taasisi na wadau wote wanaohusika na masuala ya wanawake naomba mkalifanyie kazi jambo hili
View attachment 3663049
Kielelezo 01: mwanamke akifanya ushirikina hadharani
Bila hayo wengi wanahisi mambo Yao hayaendi!Salamu ndugu wanajukwaa, najua tuna mambo mengi muhimu ya kufanya, ila kuna jambo nimeona kwenye hii video hapa chini limeniacha bumbuwazi kuhusu wanawake
Wanawake, hata kama ni maelekezo ya waganga, kwani hamwezi kutumia akili au basi kuwa na aibu kidogo!, mnapata wapi ujasiri wa kufanya ushirikina kama huu mchana kweupe?
Ni hali gani inaweza kumfanya mtu kufikia hali hii?, ndugu wadau nashauri kuanzishwe kampeni maalumu kuhimiza wanawake kufanya check-up ya afya ya akili zao , ili kunusuru jamii yetu, binti kama huyu kuwa mshirikina ni hasara kwa taifa.
Mamlaka, taasisi na wadau wote wanaohusika na masuala ya wanawake naomba mkalifanyie kazi jambo hili
View attachment 3663049
Kielelezo 01: mwanamke akifanya ushirikina hadharani
Inafikirisha sana mkuu, sasa kwanini asitafute faragha kidogo na kwanini ajinuse baada ya kumaliza kujikuna!Hizo ni Fangasi sio ushirikina.
Duh! Dunia jalala kweli bado upo nae huyo mwanamke !Haya maisha ni zaidi ya uyaonavyo,sarakasi zinapigwa mno na kina mama ukija gundua tayari ushaumia!
Fangasi husababisha muwasho na kutoa maji-maji eneo lenye uambukizo. Majimaji hayo kuweza kusababisha harufu mbaya esp. yakichanganyika na jasho na bila kukaushwa. Muathrika hapo ananusa ili kubaini kama kuna kadhia ya harufu mbaya ili akarekebishe mambo kabla ya kutokea kwenye kadamnasi.Inafikirisha sana mkuu, sasa kwanini asitafute faragha kidogo na kwanini ajinuse baada ya kumaliza kujikuna!
Bado najiuliza kama anafahamu kuwa ana hilo tatizo kwanini asingetafuta walau sehemu yenye washroom akaenda huko, kuliko kukaa hapo njiani!Fangasi husababisha muwasho na kutoa maji-maji eneo lenye uambukizo. Majimaji hayo kuweza kusababisha harufu mbaya esp. yakichanganyika na jasho na bila kukaushwa. Muathrika hapo ananusa ili kubaini kama kuna kadhia ya harufu mbaya ili akarekebishe mambo kabla ya kutokea kwenye kadamnasi.
Ni ngumu zaidi kumbadilisha mtu asiyejua kukubali kwamba hajui.Ni ngumu kuwatenganisha wanawake na ushirikina....ni damu moja
Sio kila wakati njiani kuna watu na pia sio kila sehemu unaweza kupata mahali pa faragha e.g washroom. Huko mjini inawezekana lakini kwa ss huku vijijini (including subcentres kama hapo ktk clip) hazipo. Si umeona hata hao wapitaji hawajashtuka kwa namna yoyote?Huku ni jambo la kawaida sana sio ushirikina.Bado najiuliza kama anafahamu kuwa ana hilo tatizo kwanini asingetafuta walau sehemu yenye washroom akaenda huko, kuliko kukaa hapo njiani!
Abby na wewe unaona ni sawa kujikuna hivyo hadharani !Anajikunaa🙈🙈🙈🙈
Sio sawa kabisaAbby na wewe unaona ni sawa kujikuna hivyo hadharani !
Hapo kwenye kunusa ndo...😖😬!, anyway kuishi kwingi kuona mengiSio sawa kabisa
Ni upungufu wa akili na ustaarab
Mbaya zaidi ananusa
Mabinti kama hawa wanahitaji semina elekezi toka wkHapo kwenye kunusa ndo...😖😬!, anyway kuishi kwingi kuona mengi
anadumisha mila za mtu mweusiSalamu ndugu wanajukwaa, najua tuna mambo mengi muhimu ya kufanya, ila kuna jambo nimeona kwenye hii video hapa chini limeniacha bumbuwazi kuhusu wanawake
Wanawake, hata kama ni maelekezo ya waganga, kwani hamwezi kutumia akili au basi kuwa na aibu kidogo!, mnapata wapi ujasiri wa kufanya ushirikina kama huu mchana kweupe?
Ni hali gani inaweza kumfanya mtu kufikia hali hii?, ndugu wadau nashauri kuanzishwe kampeni maalumu kuhimiza wanawake kufanya check-up ya afya ya akili zao , ili kunusuru jamii yetu, binti kama huyu kuwa mshirikina ni hasara kwa taifa.
Mamlaka, taasisi na wadau wote wanaohusika na masuala ya wanawake naomba mkalifanyie kazi jambo hili
View attachment 3663049
Kielelezo 01: mwanamke akifanya ushirikina hadharani
Kwamba watu weusi tuna mila za kufanya hayo au una maana gani mkuu !anadumisha mila za mtu mweusi
Naam! Kunusa ni muhimu ili kubaini kama kuna harufu mbaya. Ni rahisi kuficha uwepo wa fangasi za Perineal area lakini harufu ni lazima uibaini kwa kunusa. Akigundua kuna harufu mbaya (foul smell) ndo anaifubaza harufu hiyo kwa kujipuliza manukato au perfume yoyote kali. Ww unadhani kule ndani ya "vipima joto " au Vipochi vyao hubeba nini?? - Mojawapo ni hizo zana za kujisitiri hivo.Sio sawa kabisa
Ni upungufu wa akili na ustaarab
Mbaya zaidi ananusa