Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,078
- 126,190
Kwa nini Mkuu?Chakula bora tungekuwa tunapika sisi wanaume
Kwa nini Mkuu?Chakula bora tungekuwa tunapika sisi wanaume
Mahali alipokuwa ameketi inaonekana hapakuwa na watu ni kwenye kona(achana na hao wanaosikika kucheka hao ni AI). Je, hukuona kastuka kujiweka sawa walipojitokeza wale watu waliobeba mafurushi?Ndio Kwa mwanamke mtu mzima kuingiza mikono direct sehemu za siri na kujikuna huku unaangalia around kuona nani anakuona wakati Kuna watu wanapita njia na wengine wamejaa hapo huoni ni uchizi?
Kumbuka cku hizi haaminiki mtu. Utaingia choo cha nani au kama kipo cha kulipia na kama hakipo? Ww Unadhani wale jamaa wanaokojoa hovyo nyuma ya nyumba za watu hawajui faragha?Kwanini asingevunga akatafuta choo ama hata eneo la faragha akajikune akimaliza ajifunike nguo zake atoke?
Uko sahihi. Hakuchunguza kikamilifu ufaragha wa eneo husika na pia hakuchukua tahadhari ya uwezekano wa mtu kupita hapo.Wewe unaweza simama ndani ya daldala ukafanya hivyo na ukaona ni sawa?
Si heri hata angejikuna juujuu ye anafunua nguo mapaja yote yapo nje anaingiza mkononi deep mtu akikuona atadhania upo sawa?
Kwa umri alionao na kile anachokifanya amefanya nipate mashaka huenda kichwani hayupo sawa pia.Angekuwa na soni angejitahidi kutafuta sehemu yenye faragha kidogo, asingefanya hivyo hadharani
Lakini si uliona aina ya vazi alilovaa linamruhusu kuliko angekuwa amevaa nguo inayobana?Angekuwa na soni angejitahidi kutafuta sehemu yenye faragha kidogo, asingefanya hivyo hadharani
Kweli kabisa.Na hata kama ni fungus sio kitu kizuri
Akatafute dawa.kujikuna sehemu za siri hadharani ni kituko
Ni Sahihi. Katika mazingira hayo e.g. ndani ya daladala sio rahisi na wala sio ustaarab kufanya hayo.Comment #70 ya Sister Abigail ndo shida yangu kubwa ilipo
Hilo nalo linawezekana pia.Kwa umri alionao na kile anachokifanya amefanya nipate mashaka huenda kichwani hayupo sawa pia.
Wewe umeona mambo gani hapo 🤣 hawa wanapika msosi chapati na supu bora wanaume kwenye usafi 🤣Kwa nini Mkuu?
Hahahaa! Mkuu kwani wanaume ndo huwa hawajikuni? 😅😅Wewe umeona mambo gani hapo 🤣 hawa wanapika msosi chapati na supu bora wanaume kwenye usafi 🤣
Ukiangalia hakujua kama anaonekana aliyemchukua video ndie amemkosea na kama anamjua angemfungulia mashtaka ya kumrekodi kisha kusambaza video yake bila ridhaa yake (wanasheria wanajua jinsi yakuiweka hii), mwishoni alishtuka baada ya kuhisi kuna camera, hii mitandao watu wanaitumia vibaya sanaNi kweli inawezekana nina tatizo pia sikatai kwasababu ni kitu kipya kwangu kuliko kawaida na nilishindwa kuelewa lengo la yeye kufanya hivyo hadharani ndo maana nikahusisha na masuala ya ushirikina. Hata hivyo nimejitahidi kuelewa kutoka kwenye comments zenu, japo kufanya hivyo hadharani ndio bado sielewi, au yeye kufanya hivyo ni kama kupiga chafya tu au kukohoa, haoni soni!
Kivipi mkuu? Kwani inaleta mabadiliko hasi?Kwanini jamiiforums haileti mabadiliko chanya kwenye jamii?