Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,812
- 4,064
TUTAHITAJI UJE NA MASHAHIDI WAWILI JUU YA MADAI YAKO.Ni kweli sina vithibitisho vinavyojitosheleza ila nina chanzo cha madai yangu, yasipuuzwe!
kesi ifungwe
TUTAHITAJI UJE NA MASHAHIDI WAWILI JUU YA MADAI YAKO.Ni kweli sina vithibitisho vinavyojitosheleza ila nina chanzo cha madai yangu, yasipuuzwe!
hahahaha, ndio mashahidi wawili wenye ushuhuda wa dai lako, tuwasikilize nao walichokiona kwa mtenda.Mkuu kwani kufungua dai tu lazima nije na mashihidi? Kuna umuhimu wa kusoma sheria kumbe
Sio sheria tu mkuu kuzisoma, ukiwa na kesi uwe mjanja pia.Mkuu kwani kufungua dai tu lazima nije na mashihidi? Kuna umuhimu wa kusoma sheria kumbe
😁😁 Kufikia level ya kumvulia mganga kwenye vile vijumba vyao, huyo mwanamke anakuwa roho ngumu sana 🙌Wanaliwa Sana na waganga. Kama ana make up usikubali ku do naye kabla hajaoga mwili mzima hayo matope aliyojopaka yatoke ili umwone unayemshugulikia
Hapa natakiwa niwe na kutuga wangu aniwakilishe, la sivyo mkeka umechanika mapema mnohahahaha, ndio mashahidi wawili wenye ushuhuda wa dai lako, tuwasikilize nao walichokiona kwa mtenda.
Ikiwa watakiri ni ushirkina hatua zitafuata au alikua anajikuna tutatupilia mbali dai lako.
kuna umuhimu wa kuwa na mwanasharia wako, kesi zingne watu huonewa tu.Hapa natakiwa niwe na kutuga wangu aniwakilishe, la sivyo mkeka umechanika mapema mno