rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,165
- 43,854
Hizo sample ni za Dar kupata demu wa kuinjoy nae bila huo usumbufu ni nadra sana asilimia kubwa ya mabinti wa dar ni wauzaji niliwahi kuwa na mmoja kwa wiki anaweza kukabwa hata mara tano hapo atakwambia mkoba na simu pamoja na hela wamechukua hivyo anaomba umpe hela na kiukweli ni fix tu ,lakini pia alikuwa na misiba yule dada sijapata ona hiyo yote umpe hela aende msibani *****.





Mtu anaua ndugu zake wote anamalizaa kabisaa mpaka wazazi
la Elfu 20 kwa vile mimi ni mgiriki nikajiongeza nikamwambia wewe piga kabisa hesabu zote hadi za kuliwa mzigo nitumie invoice
kabisa Sipendi gharama nusu nusu
invoice ikatumwa ni 150k nikaongea nae hadi mwisho pamoja na makato ikawa 80k,tatizo mnatongoza malaya badala ya kukubalia bei
bila mpango wowote