Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
Mkuu mada ya vitambi ina uzi wake..Hapa yanaongelewa mawigsema huna hela ya kumpa mkeo akanunue alafu una kitambi
TOA KWANZA HUO MTAMBI NDO TUONGEE KUHUSU MAWIG
Mkuu mada ya vitambi ina uzi wake..Hapa yanaongelewa mawigsema huna hela ya kumpa mkeo akanunue alafu una kitambi
TOA KWANZA HUO MTAMBI NDO TUONGEE KUHUSU MAWIG
Binafsi siwezi kutoka bila wigi kama siyo basi Nina weaving
Wigi Nina kuanzia la Rihhana mpaka LA shontelle
Teh teh..Mpendwa ungekuja tu hivyo hivyo..Kanisani hatuangalii hivyo vitu lolNimemisplace wigi langu mpendwa, nimeshindwa kabisa kutoka
Teh teh..Yani sometimes unakuta msichana anageuka kuangalia upande mwingine ila wig limebaki straight tu..halijafwata direction ya kichwa...
Hahaha poa Mpendwa. Usisahau kuligundisha ili ukigeuka muwe pamoja. Si umemsikia Kaboom?
Teh teh..Mpendwa ungekuja tu hivyo hivyo..Kanisani hatuangalii hivyo vitu lol
Kimsingi hapa tunachofanya ni kucheza na saikolojia zenu. Tuna-hit kwenye palipo na esteem zenu, mnashusha standards, we get laid easily and cheaply. Ni strategies tu. Single mothers na 30s & singles wajiandae.
Ni kweli kabisa mae, umenikumbusha chuoni my friend alikuwa ana weave inayofanana na nywele zake kabisaaa alafu ilikuwa inashonwa kiustadi huwezi jua km sio nywele zake, alipolichoka akalitoa kaka mmoja kwa masikitiko akamuuliza "aisee nywele zako zilikuwa zinakupendeza mnooo, why umezinyoa?" Akamjibu tu kuwa aliamua, tulicheka tukijua kinachoendelea!
Kwa iyo ukivaa unajiona Rihanna mwenyewe! Na Rihanna anavaa wigi la nani?
Hii ni ishara kuwa mwanamke....ni mchafu na hajipendi.....
Kama mwanamke unajua namna ya kutunza nywele zako na zikawa za kuvutia kuna sababu gani ya wewe kuzificha na mawigi......
Brothers play smarter. *** boys opt for such strategies. Basically, I was helping out the defendants. Too bad I forgot my sarcasm has no fonts. I got to speak straight with these great thinkers from now on.didnt know brothers are on a mission.....
Teh teh..Unachezea nywele unakutana na milima,mabonde na mibinuko isiyoeleweka..Hadi stimu zinakata
Hapana msimu wa joto huu nimenyoa kipara ngoto na chogo langu.