Teh hawajuagi kutofautisha hawa wenzetu, yeye atakwambia tu umependeza basi. Nilikuwa na huyo friend angu, nywele zake natural utaziona tu saloon akiwa anabadilisha weave. Ni bandika bandua
This is really confusing. Anaogaje? Au mpaka akienda saloon ndo anaosha kichwa.?
I cant imagine mko kwenye mambo flani na mwenza wako.. halafu akakushika kichwani na mikono iliyo'contaminated'.. haogi? How can anyone survive this??