Bonge la ushauri kwa wahusikaUmenena ya kweli nywele za asili ni nguzo ya pambo la kichwa kwa mwanamke yeyote..binafsi napendezwa sana nikikutana na mwanamke aliye na nywele zake za asili na zaidi sana akiwa amevaa kilemba kichwani yaaani ananivutia sana nakumuona kuwa ni mwanamke anaejua thamani ya mwili na umbo lake la asili alopewa na Muumba wake...ni kweli wanawake acheni kuvaa mawigi mnatukuza ufalme wa asili msiyoijua kuweni na akili na tena mjiongeze mwajifananisha na sura za kichina,kihindi, kimalasia,kifilipino,kibangladeshi watu masikini wa kwanza duniani niny mnakimbilia minywele yao nanyi akili zenu zitakuwa zakimasikin, mjifananisha na waingereza mara warasha taabu kweli kweli ulishamuona mzungu au mwanamke gani wakihindi anasuka nywele za kiafrika? jib ni hakuna msiuze utu wenu kwa kuiga tamaduni usizozijua...
Mi nimejifunza kwa mamaangu.
Na kikubwa nilichojifunza hata nikapendelea kuwa natural ni kutochakaa kwa uso.
Mapodozi yakizidi yanazeesha kwa kweli.
Vizuri sana. Nimefurahi kusoma mawazo ya mwanamke anaejitambuaHa ha haaaaa.
Binaadam awe hana nyusi lazima atishe.
Ni kujiamini tu. Unajiweka kwenye status ya u natural mpk watu wanakuzoea.
Na wanawake wenzangu sijui hawaelewi kuwa wanaume wengi wanapenda wanawake wawe natural. Huu ndo ukweli
Iko hivi, mwili wote wa mwanamke kuanzia miguu hadi kichwani unaweza kumtamanisha mwanaumeYaan wanaume anaweza aseme hapendi wigi lakin anatamani alievaa wigi,hapendi nguo fupi lakini akiona alievaa nguo fupi macho yanamtoka hayo,kiufupi binadam haturidhiki in nature,mtuwacheee wanawake
Iko hivi, mwili wote wa mwanamke kuanzia miguu hadi kichwani unaweza kumtamanisha mwanaume
Mwanaume anaweza akatamani mapaja yako bila kutamani nywele zako. Hapo wigi linawekwa 'constant'
Rungu huwa linasumbua sana likihitaji kusuuzwa, kwahiyo vitu vingi tunaweka 'constant'
Pia wanaume tuna uwezo wa kuenjoy mapenzi na wanawake hata tusipowapenda
Macho hayana pazia ukizingatia wanawake mnatuachia tuone maziwa, mapaja, viuno, sidiria, vyupi n.kNdio hivyo msisingizie nywele muangalie tu hayo mapaja na mengineyo wanaopenda kubandika nywele waacheni wabandike
Papuchy si unayo, utafuatwa tu, ili mradi 'babu' apate kuogelea ndani ya 'bath tub'Wanaume waongo anakwambia sipendi wig unafwata kila kitu. ..akitoka nje unamkuta na mwanamke alievaa wigi, kimin, makeup, kope.,aliejichubua,mikucha mirefu yenye mirangi!
Yaaan hawa wanaume hawa ni very weird