Sonko Jr.
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 806
- 320
- Thread starter
- #181
wanaume nyie hamueleweki hata kidogo,utasema natural hair akipita aliyevaa wig macho yanakutoka kama unataka kukata roho.hebu mutuwache
Macho yanatutoka kwa sababu ya kuwashangaa wala sio kwamba tunavutiwa nao
Lakini mwanaume anaweza kuangalia mengine kama sura, miguu, hips, tako, ziwa n.k huko nako kuna U-fake wake ila sio wa wazi kama wa nywele.
