kimochambuzi
Member
- Mar 21, 2014
- 56
- 14
Hiv stimu za mwanamke zipo kwenye nywele
Sijui niwaite ???
sasa mkuu unakuta mtu ana kichwa kama jiwe lakusugulia miguu afu nywele kipilipili zile nyekundu kama mshabiki wa simba unataka afanyaje ili kuziba hiyo ambayo kwake anaona aibu na anataka kwenda na wakat....
Mwanamke anapendeza na kuvutia zaidi anapokuwa na nywele zake za asili wala sio mawigi. Hiyo ni FACT.
Mawigi yanaboa na yanatupunguzia hisia, mfano pale mwanaume unavyozishika au kujaribu kuzichezea halafu unajua kabisa hizi nywele sio.
Ni kama likofia fulani hivi linalovaliwa au kushonwa kichwani kwa mwanamke, ambayo pamoja na kwamba KIUHALISIA halimuongezei mwanamke mvuto (hata kama ni la Laki Moja), linatakiwa libadilishwe kila baada ya muda fulani.
Wanawake bakini na nywele zenu za asili, zipeni matunzo na usafi wala hamna haja ya kuhangaika na kubadilisha mawigi maana wanaume {99.99%} hatuzipendi. Zinaboa hata kuangalia.
Cha kushangaza, utamkuta mwanamke wa kibongo eti naye anahangaika kuweka liwigi lake vizuri kanakwamba linamzuia kuona vizuri wakati ni FAKE HAIR na yeye mwenyewe kaliweka hivyo kwa makusudi kuiga Wazungu.
Say NO to Fake Hair.
Wanawake wa kiafrika kama wamelogwa, hawajiamini, wana akili tegemezi na za kushikwa.
Unakuta mbibi eti nae anaweka wigi na kupaka milangi mdomoni. Mimi nadhani kuna sehemu akili za wanawake wa kiafrika zina mushkeli.
Unakuta mtu kaweka wigi eti nae anatikisa kichwa kama punda eti nywele zinamziba haoni,wanawake wa kiafrika nadhani kuna mtu kawaloga my mama exclusive.
Weeeeh hakuna kitu kinamaliza comfidence kama friends wamdiss mtu wako unaweza jikuta unamchukia huyo mtu ghaflaaaa!!
sasa mkuu unakuta mtu ana kichwa kama jiwe lakusugulia miguu afu nywele kipilipili zile nyekundu kama mshabiki wa simba unataka afanyaje ili kuziba hiyo ambayo kwake anaona aibu na anataka kwenda na wakat....
utafiti wako umeufanyia wap ukajua wanaume asilimia 99.9 hampendi?hebu mtuache ww umekutana na wigi limekaa kichwani miezi mitatu hat spray halijapata kwann lisitoe harufu, hebu tuache tuishi tupendavyo
Tena baadhi yao ni wachafu, wananuka nywele. Fikiri joto la jiji kama Dar kuna joto kali, jasho kuanzia saa 12 hadi ukipanda kitandani...lakini mtu haoshi kichwa kwa wiki tatu....
Jamani kuna wanawake ni wachafu...ptyuuuuu.
Hahaha atoto nimepiga ukunga huku, juzi kati Nimefumua nikaenda zangu kupunguza nywele kidogo ili nizilock. Sio kwa kule kupunyuliwa yani nilimsonya yule kinyozi kimoyomoyo maana sio kwa chogo hili mzee wangu alilonipa khaa. No dreads no kusuka mweee nikaogopa kuvaa wigi Isije nikageuka afu lenyewe likabaki tu straight uwiiii ii. Daddy Kaboom nimekugawa leo
Teh teh..Douta we ukivaa linakupendeza bana..UsiogopeHahaha atoto nimepiga ukunga huku, juzi kati Nimefumua nikaenda zangu kupunguza nywele kidogo ili nizilock. Sio kwa kule kupunyuliwa yani nilimsonya yule kinyozi kimoyomoyo maana sio kwa chogo hili mzee wangu alilonipa khaa. No dreads no kusuka mweee nikaogopa kuvaa wigi Isije nikageuka afu lenyewe likabaki tu straight uwiiii ii. Daddy Kaboom nimekugawa leo
Hahahaaaa! Vaa tu wigi kichwa kiwe kama umebeba mtungi, yaani wanaume wa jf wana maneno kama wanawake wa kizaramo, nimewagawa bureeeeee, wanavyoyatoa sasa km wake wenza wanachambana, duuuuh ngoja nimtafute khadija kopa aje achukue watu huku wamsaidie kutunga aisee.
Wanawake wa kiafrika kama wamelogwa, hawajiamini, wana akili tegemezi na za kushikwa.
Unakuta mbibi eti nae anaweka wigi na kupaka milangi mdomoni. Mimi nadhani kuna sehemu akili za wanawake wa kiafrika zina mushkeli.
Unakuta mtu kaweka wigi eti nae anatikisa kichwa kama punda eti nywele zinamziba haoni,wanawake wa kiafrika nadhani kuna mtu kawaloga my mama exclusive.
Teh teh..Douta we ukivaa linakupendeza bana..Usiogope